..wakishua hamlagi sembe nyinyiSio sembe nyama?
Hapo kwa Kanda Bongo man umesaha Oo mayebo ya kupora aai mwana. Those were the days unalisakata uko kumbuka ukitoroka home pichu inaanza kubana.1. TP Ok Jazz ya Rwambo
2. Viva la Musica ya Papa Wemba
3. Wenge Muzic BCBG 4x4
4. Empire Bakuba - Pepe Kale, akiwa na kina Emoro, Papytex etc
5. Kanda Bongo Man, huyu sikumbuki kundi lake lakini kuna mwaka alikuja na song la Mama Nabela, shika matiti na mwana, ai ai...
6. Bozi Boziana
7. Mbili Abeli (Mama yangu alikuwa anampenda huyu mama si mchezo, mpaka ikipigwa song lake lazima nyote mkae kimya aimbe mama tu kuufatishia muziki)
8. Baadae walikuja kina Extra Muzica, nakumbuka Oxygene na Roga Roga ndo walikuwa viongozi wa kundi.
Kila mwaka tulikuwa tunakaa kusikiliza nani katoa album nzuri, nani kafanya video nzuri, nani kafunika, mpaka baadae ukaja Mtindo wa Ndombolo (1996) ambao kila bendi karibia iliuimba, nakumbuka Wenge BCBG walifunika sana mpaka ikawa mwanzo wa kuvunja makundi.
Old is Gold.
.,e bhana mkuda em kwanza niazime ndula hilo na mimi nipigie bakora uswazi kwetu!
Mkuu huu miguu mbona ni mtaji wa biashara Huku kwetuMkudaaaa,
Wewe mtoto wa Woolworth huyawezi mambo yetu ya downtown!
Hapo kwa Kanda Bongo man umesaha Oo mayebo ya kupora said mwana. Those wewe the days unalisakata uji kumbuka ulitoka home pichu inaanza kubana.
70's hits umezisikiliza hio 70's au 80-90s?
Angejua kuwa daktari wako alikuwa Kanda Bongoman mother angekuwejea mziki homeπ wakati huo tunakwenda kushina nguo kwa fungi Abdala unamwambia akuwekee sponge mabegani kama Kanda Bingoma na kwenye party insinuate mabegaHa ha ha, nakumbuka siku moja niko na Mama tunaenda hospital, sasa kuna njia tukapita ikawa inapigwa ngoma hiyo, nikabakibaki kwa nyuma mama bila kujua yeye anazidi kwenda tu kumbe nimebaki nacheza mziki, kuja kushtuka mama simwoni.
Nilitembea huku na huku bila mafanikio, ikabidi nirudi zangu home tu, mama alivyorudi akanikuta, nilichapwa fimbo bila kujali naumwa au la.
Kanda Bongo man ilikuwa shida, na zile za Emayebo, Ya Kupola, emama ilula lula, okondimaaaa.
πππππMkuu huu miguu mbona ni mtaji wa biashara Huku kwetu
..umeninyima assist kisiasa mkudaMkudaaaa,
Wewe mtoto wa Woolworth huyawezi mambo yetu ya downtown!
Holiday, Who's that girl, Madonna.
Come to my life, I have got so much love to show you Aspirin by
Two can play that game by Bobby Brown
Silent morning The Commorders
Kool and the Gang
BAK where are you?
...yani we jamaa umenichekesha kinyama,Ha ha ha, nakumbuka siku moja niko na Mama tunaenda hospital, sasa kuna njia tukapita ikawa inapigwa ngoma hiyo, nikabakibaki kwa nyuma mama bila kujua yeye anazidi kwenda tu kumbe nimebaki nacheza mziki, kuja kushtuka mama simwoni.
Nilitembea huku na huku bila mafanikio, ikabidi nirudi zangu home tu, mama alivyorudi akanikuta, nilichapwa fimbo bila kujali naumwa au la.
Kanda Bongo man ilikuwa shida, na zile za Emayebo, Ya Kupola, emama ilula lula, okondimaaaa.
Michael Jackson standing in the wall bado Lione Ritchie Lets go dancingMadonna- Papa Don't Preach
Cool and the gang- Fresh
Halafu hapo umewasahau Diana Ross and The Supremes!
Ulikuwa mdogo sanaaaa!
ππππππ
...yani we jamaa umenichekesha kinyama,
.mgonjwa unacheza ndombolo!??