Kwa Wale Wahenga, Ulikuwa Unasikiliza Muziki Gani....?

1. TP Ok Jazz ya Rwambo
2. Viva la Musica ya Papa Wemba
3. Wenge Muzic BCBG 4x4
4. Empire Bakuba - Pepe Kale, akiwa na kina Emoro, Papytex etc
5. Kanda Bongo Man, huyu sikumbuki kundi lake lakini kuna mwaka alikuja na song la Mama Nabela, shika matiti na mwana, ai ai...
6. Bozi Boziana
7. Mbili Abeli (Mama yangu alikuwa anampenda huyu mama si mchezo, mpaka ikipigwa song lake lazima nyote mkae kimya aimbe mama tu kuufatishia muziki)
8. Baadae walikuja kina Extra Muzica, nakumbuka Oxygene na Roga Roga ndo walikuwa viongozi wa kundi.

Kila mwaka tulikuwa tunakaa kusikiliza nani katoa album nzuri, nani kafanya video nzuri, nani kafunika, mpaka baadae ukaja Mtindo wa Ndombolo (1996) ambao kila bendi karibia iliuimba, nakumbuka Wenge BCBG walifunika sana mpaka ikawa mwanzo wa kuvunja makundi.

Old is Gold.
 
Hapo hatujazungumzia kina Koffi Olomide na album zote zilibamba, Awilo Longomba, Luciana Zipompa Pompa, Zaiko Langa Langa.

Baba alikuwa anampenda sana Rwambo na ndiye aliyesababisha nimwelewe mzee wa song la Mario, sasa Madilu alikuwa ni mwanafunzi pendwa wa Rwambo na Mzee alikuwa anamwelewa sana, Album yake ya L Eau niliwahi kukata kamba nikiwa nazungusha kwa peni, Mzee alinimind sana, msamaha nikaambiwa niwe wa kwanza Mtihani wa Muhula otherwise hakuna tena kushika redio.

Madingi bana dah!
 
Holiday, Who's that girl, Madonna.

Come to my life, I have got so much love to show you Aspirin by

Two can play that game by Bobby Brown

Silent morning The Commorders

Cool and the Gang

BAK where are you?
 
1. TP Ok Jazz ya Rwambo
2. Viva la Musica ya Papa Wemba
3. Wenge Muzic BCBG 4x4
4. Empire Bakuba - Pepe Kale, akiwa na kina Emoro, Papytex etc
5. Kanda Bongo Man, huyu sikumbuki kundi lake lakini kuna mwaka alikuja na song la Mama Nabela, shika matiti na mwana, ai ai...
6. Bozi Boziana
7. Mbili Abeli (Mama yangu alikuwa anampenda huyu mama si mchezo, mpaka ikipigwa song lake lazima nyote mkae kimya aimbe mama tu kuufatishia muziki)
8. Baadae walikuja kina Extra Muzica, nakumbuka Oxygene na Roga Roga ndo walikuwa viongozi wa kundi.

Kila mwaka tulikuwa tunakaa kusikiliza nani katoa album nzuri, nani kafanya video nzuri, nani kafunika, mpaka baadae ukaja Mtindo wa Ndombolo (1996) ambao kila bendi karibia iliuimba, nakumbuka Wenge BCBG walifunika sana mpaka ikawa mwanzo wa kuvunja makundi.

Old is Gold.
Hapo kwa Kanda Bongo man umesaha Oo mayebo ya kupora aai mwana. Those were the days unalisakata uko kumbuka ukitoroka home pichu inaanza kubana.
 
Hapo kwa Kanda Bongo man umesaha Oo mayebo ya kupora said mwana. Those wewe the days unalisakata uji kumbuka ulitoka home pichu inaanza kubana.

Ha ha ha, nakumbuka siku moja niko na Mama tunaenda hospital, sasa kuna njia tukapita ikawa inapigwa ngoma hiyo, nikabakibaki kwa nyuma mama bila kujua yeye anazidi kwenda tu kumbe nimebaki nacheza mziki, kuja kushtuka mama simwoni.

Nilitembea huku na huku bila mafanikio, ikabidi nirudi zangu home tu, mama alivyorudi akanikuta, nilichapwa fimbo bila kujali naumwa au la.

Kanda Bongo man ilikuwa shida, na zile za Emayebo, Ya Kupola, emama ilula lula, okondimaaaa.
 
Kuna Fundi Radio alikuwepo mtaani kwetu, huyu alikuwa ana kila album inayotoka ya Zaire, sasa sisi weekend tunaamkia kwake, mnapokezana kuzungusha tairi la baskeli ili Dinamo igenerate umeme wa kupiga muziki.

Labda siku hiyo mkute kafurahi ndo ananunua betri mpya mnapiga muziki mnacheza mpaka mnasahau kwenda kula, jioni ikifika hao kwenye soccer.
 
Ha ha ha, nakumbuka siku moja niko na Mama tunaenda hospital, sasa kuna njia tukapita ikawa inapigwa ngoma hiyo, nikabakibaki kwa nyuma mama bila kujua yeye anazidi kwenda tu kumbe nimebaki nacheza mziki, kuja kushtuka mama simwoni.

Nilitembea huku na huku bila mafanikio, ikabidi nirudi zangu home tu, mama alivyorudi akanikuta, nilichapwa fimbo bila kujali naumwa au la.

Kanda Bongo man ilikuwa shida, na zile za Emayebo, Ya Kupola, emama ilula lula, okondimaaaa.
Angejua kuwa daktari wako alikuwa Kanda Bongoman mother angekuwejea mziki home😀 wakati huo tunakwenda kushina nguo kwa fungi Abdala unamwambia akuwekee sponge mabegani kama Kanda Bingoma na kwenye party insinuate mabega
 
Wale wa Country Music siwahoni.
Au, maana hawa ndio wahenga Originally.
Letter to Heaven, mama ajuza mwenyewe D. Patron
 
Holiday, Who's that girl, Madonna.

Come to my life, I have got so much love to show you Aspirin by

Two can play that game by Bobby Brown

Silent morning The Commorders

Kool and the Gang

BAK where are you?

Madonna- Papa Don't Preach

Cool and the gang- Fresh

Halafu hapo umewasahau Diana Ross and The Supremes!
Ulikuwa mdogo sanaaaa!
😀😀😀😀😀😀
 
Ha ha ha, nakumbuka siku moja niko na Mama tunaenda hospital, sasa kuna njia tukapita ikawa inapigwa ngoma hiyo, nikabakibaki kwa nyuma mama bila kujua yeye anazidi kwenda tu kumbe nimebaki nacheza mziki, kuja kushtuka mama simwoni.

Nilitembea huku na huku bila mafanikio, ikabidi nirudi zangu home tu, mama alivyorudi akanikuta, nilichapwa fimbo bila kujali naumwa au la.

Kanda Bongo man ilikuwa shida, na zile za Emayebo, Ya Kupola, emama ilula lula, okondimaaaa.
...yani we jamaa umenichekesha kinyama,
.mgonjwa unacheza ndombolo!??
 
Back
Top Bottom