Yeah... Natambua hilo man.lyrics and ryhmes were revolutionized by R.
Before Rakim lyrics was only external.
Huyu jamaa akaja akaongeza one verse two short lines.. sijui unajua hili???
Kuna kitu ilikuwa inaitwa mtoki(kama kidonda kipo mguuni unapata uvimbe juu kabisa ya paja) hii inaambata na homa lazima ushtukiwe.
Brother aliumia akiwa anakwenda uwanja wa taifa kuangalia Simba na Yanga. Amerudi home mkono umevimba ikabidi apelekwe hospitali. Daktari anasema hawezi kumshona jeraha ni la muda mrefu, dingi alimuuliza umeumia saa ngapi? Alijibu wakati ninakwenda mpirani, dingi aliblow mapigo yaani mpira ni muhimu kuliko afya yako?Kwenye kuchapa mama zetu enzi hizo walikuwa hawajali unaumwa au vipi! Kuna wakati inabidi ufiche kidonda kwa kuhofia fimbo, umezurula umekatwa na chupa unajua ukionesha utachapwa kwanza ndio upate tiba.
....enzi hizo wote tunasoma shule zile zile....watoto wa mawaziri,wakurugenzi tunachanyka nao Tambaza,Azania,Forodhani etc...ujamaa ulikuwa ujamaa kweli...hakuna mtoto wa uswazi aliekuwa anasanukia hizi ngoma,labda ajimiksi ushuani
Kitu cha yondo sister,Alan konkuu hapa
Yeah its an infection.....wadudu wanakuwa trapped kwenye vitezi fulani mapajaniNakumbuka, halafu hii ilikuwa kama ni effect ya kutotibu kidonda sijui, maana nakumbuka ilikuwa ukipona na yenyewe inaondoka, au unakandwa kwa kitu cha uvugu vugu hivi kama mwiko.
Siku hizi siyaoni haya mambo kabisa.
Umenikumbusha kuna group ilikuwa inaitwa Afrika Bambataa. Ni hatari.Hahaha...
I usually tag everthing before 1998 oldschool.
I left my wallet in el segundo, I left my wallet in el segundo..Tribe called Quest.
Flavor in Ye Ear... crag mack
daah...
Ahahahaha, ile njaa ilisababisha tukaanza kugawa Almasi za Mwadui.Wewe Rrondo hivi umevaa zile Uniform za shule Ahsante Salim ???
Mnakula unga wa Yanga na mchele kitumbo....
Tanzania imetoka mbali sanaaaaa jamaniiii......
Hahaha seems like you have what i have in my library. CheersMy fav was Hey Lover and Doin It
Nimekula mchele kitumbo na unga wa Yanga, asante Salim zilikuwaje?? Mimi uniform nimeanza kuvaa shati jeupe,kaptura ya bluu.
,una kichwa kizuri mkuda,Wewe Rrondo hivi umevaa zile Uniform za shule Ahsante Salim ???
Mnakula unga wa Yanga na mchele kitumbo....
Tanzania imetoka mbali sanaaaaa jamaniiii......
Malcom i bet you must be between 40's and early 50's. I stand to be corrected though...Ooh yeah!!!
The Cranberries
Cold-play
The Carpenters
Lebo M
Fela Kuti
Salif Keita
You listen to them ??
Ahahahaha, ile njaa ilisababisha tukaanza kugawa Almasi za Mwadui.
Hii ilipigwa na The Tanzanite band ya wakati ule. Sasa hivi amebaki mhenga John Mhina na Rich Richie alishatoka kitambo sana.Kaniachia mume wake kafwata mdundiko x2 mezea mezea. Ki luxury ki luxury Mwenge Kariakoo
We Jamila shilingi imekuponza.
Mkuu acha kabisa, wachina na wamarekani walitufanya kitu mbaya sana, na nafikiri ndio maana mpaka leo wanatudharau vile walitulisha vyakula vilivyokuwa kwenye bajeti vya mifugo yao.Hahahaha mkuuu na wewe ulikuwa mhanga wa ile makitu eeeh ???
,una kichwa kizuri mkuda,
.ukisimuliwa kitu huwaga hukisahau
Hizo collection Malcom Lumumba alikuwa anasikia m-sure wake akizipiga....sio yeyeMalcom i bet you must be between 40's and early 50's. I stand to be corrected though...
...si ndo hapo wa uswazi mpaka tujimiksi na wa ushuani;....enzi hizo wote tunasoma shule zile zile....watoto wa mawaziri,wakurugenzi tunachanyka nao Tambaza,Azania,Forodhani etc...ujamaa ulikuwa ujamaa kweli