Kwa Wale Wahenga, Ulikuwa Unasikiliza Muziki Gani....?

Kwa Wale Wahenga, Ulikuwa Unasikiliza Muziki Gani....?

lyrics and ryhmes were revolutionized by R.

Before Rakim lyrics was only external.

Huyu jamaa akaja akaongeza one verse two short lines.. sijui unajua hili???
Yeah... Natambua hilo man.
 
Kuna kitu ilikuwa inaitwa mtoki(kama kidonda kipo mguuni unapata uvimbe juu kabisa ya paja) hii inaambata na homa lazima ushtukiwe.

Nakumbuka, halafu hii ilikuwa kama ni effect ya kutotibu kidonda sijui, maana nakumbuka ilikuwa ukipona na yenyewe inaondoka, au unakandwa kwa kitu cha uvugu vugu hivi kama mwiko.

Siku hizi siyaoni haya mambo kabisa.
 
Kwenye kuchapa mama zetu enzi hizo walikuwa hawajali unaumwa au vipi! Kuna wakati inabidi ufiche kidonda kwa kuhofia fimbo, umezurula umekatwa na chupa unajua ukionesha utachapwa kwanza ndio upate tiba.
Brother aliumia akiwa anakwenda uwanja wa taifa kuangalia Simba na Yanga. Amerudi home mkono umevimba ikabidi apelekwe hospitali. Daktari anasema hawezi kumshona jeraha ni la muda mrefu, dingi alimuuliza umeumia saa ngapi? Alijibu wakati ninakwenda mpirani, dingi aliblow mapigo yaani mpira ni muhimu kuliko afya yako?
 
Nakumbuka, halafu hii ilikuwa kama ni effect ya kutotibu kidonda sijui, maana nakumbuka ilikuwa ukipona na yenyewe inaondoka, au unakandwa kwa kitu cha uvugu vugu hivi kama mwiko.

Siku hizi siyaoni haya mambo kabisa.
Yeah its an infection.....wadudu wanakuwa trapped kwenye vitezi fulani mapajani
 
Hahaha...
I usually tag everthing before 1998 oldschool.

I left my wallet in el segundo, I left my wallet in el segundo..Tribe called Quest.

Flavor in Ye Ear... crag mack

daah...
Umenikumbusha kuna group ilikuwa inaitwa Afrika Bambataa. Ni hatari.
 
Nimekula mchele kitumbo na unga wa Yanga, asante Salim zilikuwaje?? Mimi uniform nimeanza kuvaa shati jeupe,kaptura ya bluu.

Ahsante Salim ni baadhi ya nguo ambazo Salim Ahmed Salim aliziruhusu kuingia nchi.
Nchi ilipinda kichizi hata kaptula za shule zikawa haziwekewi wino wa kutosha unakuta upande moja umekolea mwingine hauna wino...... Daaaah Nyerere wetu bwanaaa!
 
Back
Top Bottom