McDonaldJr
JF-Expert Member
- Sep 25, 2013
- 6,386
- 7,558
Changamoto pekee kwny ualimu ni wapi utapangiwa kufundisha mara nyng kuna shule ziko mazingira magumu sn mfn hakuna umeme,huduma za afya sio nzr,usafiri mbovu(miundombinu),hakuna network covarage ya simu,makazi duni etc mambo mengine kawaida sn ni maisha yale2 ya m-tanzania wa kawaida tatizo la mishahara halipo siku hizi wahi kituoni jaza mkataba wako mapema unaingia kwny system bila shaka ila km ndoto zako ni maisha ya Dar na kukaa kwny viti vya kuzunguka uku unabonya laptop haahaa utapagawa huko uendako niwatakie kazi njema walimu wapya nendeni mkapambane.