Kwa wale walimu wazoefu na watarajiwa em piteni hapa for a while..............

Changamoto pekee kwny ualimu ni wapi utapangiwa kufundisha mara nyng kuna shule ziko mazingira magumu sn mfn hakuna umeme,huduma za afya sio nzr,usafiri mbovu(miundombinu),hakuna network covarage ya simu,makazi duni etc mambo mengine kawaida sn ni maisha yale2 ya m-tanzania wa kawaida tatizo la mishahara halipo siku hizi wahi kituoni jaza mkataba wako mapema unaingia kwny system bila shaka ila km ndoto zako ni maisha ya Dar na kukaa kwny viti vya kuzunguka uku unabonya laptop haahaa utapagawa huko uendako niwatakie kazi njema walimu wapya nendeni mkapambane.
 
Katika maisha napenda sana changamoto. Sijui kama ni ujinga au ni psychology. Ila nahc ni mapenzi yangu kwa watu wanaoishi mazingira magumu. Nimezaliwa penye raha lakini sijawahi kuishi kwa raha. Sijafanikiwa kuipenda. Halafu mazingira changamoto yanakuweka busy kama hujajua. Jamani jiandaeni kisaikolojia. Mtazamo wako ndo utakusaidia kupambana na maisha yeyote mbele yako.
 
Walimu tarajali bado wapo masomoni, hawajahitimu.

Wanaosubiri ajira za serikali ni walimu wahitimu.

...walimu tarajali mnatusumbua sana...
kama umefaulu utaajiriwa tu...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…