Kwa wale walio singo, unamtamani nani humu angekuwa mwenza wako?

Equation x

JF-Expert Member
Joined
Sep 3, 2017
Posts
33,679
Reaction score
49,841
Binadamu tumeumbwa na hisia, ata tukijiweka bize sana katika utafutaji; mwisho wa siku tutaishia kwenye hisia tu.

Inawezekana kuna sababu nyingi zinaotufanya tusiwe na wenza; ila mwisho wa siku tunabaki na maumivu yetu.

Aya mlio singo, fungukeni; mngependa kuwa na mahusiano na nani humu?

Ukiona aibu shauri yako; waswahili wanasema mficha nini sijui hazai! mtamalizia wenyewe.

Karibu kwa chat!
 
Nikikutajia uhakikishe unakwenda kumfikishia ujumbe, siyo kutujaribujaribu halafu unatuacha tunateseka

Mimi ni admirer wa Mamndenyi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…