Its Pancho
JF-Expert Member
- Sep 21, 2018
- 15,966
- 26,404
Weekend amka tukanywe savanaaDaah mkuu me leo nipo tuu home huku East zoo... kumbe bata lipo leo????
au sio bidada???ila we kwa bata nakuaminia mbnaWeekend amka tukanywe savanaa
Hahahhaha poleeeeIla bidada usije Ukanjazia team yako huko?? yaani ntakimbia bili mbna! [emoji51][emoji51]na me mwenyewe ni bishoo tu hapa Town
Demiss unapenda kufilisi vijana, unatakiwa ubwiye Godorns, au Nyagi ili mori ipande mapemaWeekend amka tukanywe savanaa
Naanzaje mm nataka vitu lainiDemiss unapenda kufilisi vijana, unatakiwa ubwiye Godorns, au Nyagi ili mori ipande mapema
Vijana mipunga kidogo hayo fanya kwa wazee kama mie, sorry Mganga asije akaezua paa la nyumba lakiniNaanzaje mm nataka vitu laini
Daah ama kwel we ndo demiss..Hahahhaha poleeee
yaani atanifilisi mpaka maji mwilini huyu bidadaDemiss unapenda kufilisi vijana, unatakiwa ubwiye Godorns, au Nyagi ili mori ipande mapema
Platinum jee pazuri?Daah ama kwel we ndo demiss..
Hela tuu mzeebaba viwanja kama vyote mzee malkia wa dom demiss anaelewaPlatinum jee pazuri?
PowaHela tuu mzeebaba viwanja kama vyote mzee malkia wa dom demiss anaelewa
Haya twende malaika Annex ya Area c wewe wapi?
mzeebaba unamkabidhi bucha huyo fisii??Agizeni kila mtu Grants moja , Natoka hapa Mipango kwenye SendOff sasa ivi.
Nakuja Kulipa MIMI. 🍻🍻
mzeebaba unamkabidhi bucha huyo fisii??