Its Pancho
JF-Expert Member
- Sep 21, 2018
- 15,966
- 26,404
kwa wale tuliopo dom city..huu ndo uzi wenu wa kutiririka hapa..
kuanzia viwanja.. yaani bata batani...kwa wajanja wote basi hatukosi night club kali kama, maisha club, club 7,club laaziz, club perugina, na zingine kibao!
naskia humu kuna malkia wa dom city..demiss mengine atajazia hapa....
Mchizi kichizi "