Kwa wale waliopo dom city...karibuni..

Ulienda kunyoa saloon za bei rahisi, unatakiwa uingi zile zenye masaji ili uone matumizi
 
Yupo mbali sanaaa yan uwiii nimeloa kyupi hapaaaa nilivyosoma comment yako
Ningekuwa nyumba ya jirani ningejifanya kwangu umeme umeisha ningekuja na nguo nipige pasi hafu ungeipata maana mwanamke kama hajagongwa muda mrefu ukimwona amekaa katulia kwake utamjua tu
 
Ulienda kunyoa saloon za bei rahisi, unatakiwa uingi zile zenye masaji ili uone matumizi

Kwa hio wewe masaj ndio umeona mambo yoote au sio!!!
Ndio maana nkasema dodoma bado saana,,,kuanzia mji na watu wake
Wote bado wapo nyuma saana kimaendeleo[emoji3]
 
Kwa hio wewe masaj ndio umeona mambo yoote au sio!!!
Ndio maana nkasema dodoma bado saana,,,kuanzia mji na watu wake
Wote bado wapo nyuma saana kimaendeleo[emoji3]
Mm siamini kama wapo nyuma, kwanza nasikitika wataacha kujenga zile nyumba zao ambazo ni mila na desturi, wataiga maendeleo ya wazungu.
Hafu Dodoma kuna viwanda kuzidi miji mingi tu ya Tanzania acha kuwasema vibaya au kuna binti wa huko alikubania?
 
Wewe mm nilkuwa natoka na yule mheshimiwa mnafiki anapenda kuhama vyama mzee wa mashangingi

Sent from my SM-G532F using JamiiForums mobile app

Ah kumbe kule kushikana mikono beach na Ruge ilikuwa ni kick tu? Ila Zama alikumind mpaka akakutafutia mgambo uchwara wakushikishe adabu kumbe mwenzao ni ninja zaidi ya wale mgambo aliowaokota mtaani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…