Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kuna watu walikuwa wananishawishi sana haya mashirika ya kimataifa ila msimamo wangu mara zote ni kuwa hayafai hata kidogo .
Mkuu, mimi nimegundua watu wengi wanafuata maneno ya mitandaoni na hawajui kinaendelea nini,,,wengi wanasema USAID imefutwa, kitu ambacho sio kweli, watu watunze maneno baada ya siku 90 sijui wataficha wapi sura zao shughuli zikiruhusiwa kuendelea.
Ukifanya private sector lazima uwe na backup plan atakama u unalipwa pesa nyingi. Uwezi kujua ya kesho yanakuwaje kuna jamaa wapo shirika la ukimwi naona kila mmoja anapambana kuwekeza
Kazi kweli
Sio wazee wote, wazee wenye connectionMzee hivi unaelewa Serikali yako haitoi ajira kwa vijana bali inatoa ajira kwa wazee (Cc: Wasira) sasa a-relax kwa muda gani yaan?
Hii ina athari kubwa sana nashangaa serikali bado inasikilizia kama hela zitarudi,hili shirika linafyeka wafanyakazi na hata likirudi sio kwa kiwango kile cha awali,Mkuu wa DOGE ni Elon Musk hakuwekwa hapo kwa bahati mbayaNi kazi kweli kweli...Hata sikumoja usingelitegemea hili kutokea, maumivu kwa Watanzania wenzetu ambao ajira zao zitakoma, kwa taifa ndio usiseme, baadhi za taasisi zitabidi zijitazame na kujipanga upya!
Wazee wenye connection ndio wanaopewa ajira ndio nmemaanisha hivyo, Wazee wenye connection sasa hivi wanachangamkia viunga vyote vya ajira na kuwaacha vijana wakisaga lami mitaaniSio wazee wote, wazee wenye connection
Unataka grade one na uchumi umeyumba.. wee kula usife njaa.🤣🤣Ndiomana nimesema huo utakuwa ni ule chenga mixer na mawe mengi…!!
Ila mchele kweli grade one hiyo pesa hapati hata mkoani tusidanganyane hapa.
6m ni kubwa aisee, kama hakujipanga imekula. Kwa kiasi hiko kama ni muanja atakuwa hata na maduka makubwa mjini. Ni watu wachache sana waliobahatika kufikia 6m salaryKuna mwamba alikua anakunja 6m,sijui itakuaje huyu?
Hii ina athari kubwa sana nashangaa serikali bado inasikilizia kama hela zitarudi,hili shirika linafyeka wafanyakazi na hata likirudi sio kwa kiwango kile cha awali,Mkuu wa DOGE ni Elon Musk hakuwekwa hapo kwa bahati mbaya
Ukitafakari, trump has a pointMkuu nyingi hazirudi! Nimeangalia kwenye mojawapo ya TV US , Kulikuwa na mradi Tanzania, wanauliza hii pesa yote ya nini kwenye mradi huo! Jina la mradi (Support Gender Equality for Climate change in Tanzania ) Pesa ya mradi ni $ 14,000,000! Hii ni pesa kubwa mno! Ilikuja kwa nani, na inafanya nini!
Mkuu nyingi hazirudi! Nimeangalia kwenye mojawapo ya TV US , Kulikuwa na mradi Tanzania, wanauliza hii pesa yote ya nini kwenye mradi huo! Jina la mradi (Support Gender Equality for Climate change in Tanzania ) Pesa ya mradi ni $ 14,000,000! Hii ni pesa kubwa mno! Ilikuja kwa nani, na inafanya nini!
Ukitafakari, trump has a point
Nimeona list ya miradi anayoiondoa Trump mingi ni ile ya kusupport issues za LGBT.Mkuu ulaji unaanzia Marekani kwenyewe! Ukifika kwetu ndio usiseme! Hebu katika picha hii Nani anafaidika, Huyo mhamasishaji kapata Per Diem, kaja na Landcruiser Mkonga, Dereva naye nk! Hao kina Mama wa Kimasai wamebadilika chochote kweli!
View attachment 3229161
Nimeona list ya miradi anayoiondoa Trump mingi ni ile ya kusupport issues za LGBT.
Fedha nyingi sana zimekwenda Asia, Amerika ya kusini na Africa kussuport mambo hayo. Kazifuta.
Kuna watu walikuwa wananishawishi sana haya mashirika ya kimataifa ila msimamo wangu mara zote ni kuwa hayafai hata kidogo .
Nafahamu mkuu kuna watu wanalipwa mapesa kibao kama posho tu kwa siku.Mkuu kila Raisi/Utawala wa Marekani unakuwa na sera zake, Kipindi cha Biden sera ilikuwa ndio hiyo, ndio maanapesa nyingi zilienda huko! Kwa wengi wetu hata kama hupendi LGBTQ Lakini ndio ulaji uko huko utafanyaje! Asali iko huko Mkuu, Per Diem, mshahara mnono, semina Warsha tu!