Kwa wale waliosoma Seminari za Katoliki


Haha,ule mgomo nilikuwa form3,nadhan,siku ile ilikuwa balaaa et tukaenda uwanjan kisha dudu marehem,akaja na majina,form 1 wakawa wanasema tunakula huku wanatikisa vichwa kama vile wanakataaaa hahahhahaha.ila tulifanya kwel siku ile sema kuna wasalit walianz kutajana na majembe yangu kibao yalitimuliwa.nashukuru mungu nilimaliza japo nilichezeaga suspension moja
 
Kuna ticha mmoja pale makoko alikuwa anaitwa fullmercy hahhaha alikuwa kapinda huyo.afu na mwana wa mtu,Rocky,rwiza,bwenu n.k
 
bila kusahau st.peters seminary ya morogoro...hakika ilikuwa ni kama mbinguni...wale wa desert...

Unanikumbusha ujana ulivyokuwa umetukamata,,,hawa vijana wa st. Peters walikuwa wana kawaida ya kutoroka saa 1 usiku na kuingia mtaani kununua maandazi,, basi tulikuwa tukikutana nao tunawapora mfuko wa maandazi halafu tunawafukuza kwa kuwatishia kuwakamata na kuwapeleka kwa walimu wao kuwa wametoroka,,basi wanakuwa wapole wanakimbia kurudi zizini.
 
daahh mwl. Wangu wa geografia....mara ya mwisho aliniita akaniambia "nimeweza soma tabia watu wote hapa seminarini lakini wewe peke yako nimeshindwa"...mwisho wa kunukuu

maanake haueleweki wewe!
 

ilikuwa mwaka gani hiyo......
 
Nimesoma donbosco seminary..dat was the best lyf i had in five years
 
Daaa mm nilipenda kwenda st peters lakin hali ya kiuchumi ndo, nashukuru nipo malezi now nayaexperience mnayosema,
 

Mì mwenyewe kuna washkaji zangu nao walikumbwa na mpugo dah ilikua inauma,,zaidi sitasahau kizigo cha adhabu tulichopigwa,kusomba moramu ndoo 100.! Kuna kipemba mmoja anaitwa..... a.k.a Bake alikua chapel work ndo alikua mchomeshaji sana! Vp ulikua camp ipi ya manyigu au ya wale mabraz kaka wakiongozwa na B.N,,F.N a.k.a bichwa,,O.M,,a.k.a Nelly? Nadhani hao jamaa unawafahamu form 3 wenzako
 
Daaa mm nilipenda kwenda st peters lakin hali ya kiuchumi ndo, nashukuru nipo malezi now nayaexperience mnayosema,

pole sana mkuu...lakini mwisho umekuwa fratery na natumai upo mzumbe msalimu shemasi toronto na mikego´....hao ndo classmate wangu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…