Seminari kwa ujumla inawatayarisha vijana walioiva kabisa kimaadili na kitaaluma. Mimi kijana wangu amesomea Seminari mpaka kidato cha nne tu lakini msingi alioupata umemuwezesha kufika mbali kimasomo. Hongereni sana Seminari zetu.
waseminari ni muhimu tutambu maaskofu nazani st.james seminary ni kati ya seminari ilizotoa maaskofu wengi kuliko seminary zote za Tanzania...mnasemaje wadau
Waliosoma seminary za Kikatoliki wengi wamelawitiwa/wamelawiti ma Father, ushahidi huu hapa:
He was my priest and my friend. Then I found out he was a paedophile | Comment is free | The Observer
Si Tanzania tu ni dunia nzima:
Catholic sex abuse cases - Wikipedia, the free encyclopedia
Mliosoma seminari za Kikatoliki fungukeni mponeshe majeraha kwa kuondoa madukuduku ya siri mbaya zilizowakaa moyoni.
nyie waseminary wa kikatoliki wengi wenu ni wajinga na wapumbavu kabisa, huku chuoni ndio mnongoza kwa ufuska, hamsali tena eti mshasali sana, waoga kumkiri kristo hata wengine hamtaki kujiita wakristo, huu ni unafiki na uzandiki, kanisa limewapa elimu bora badala ya kuitumia kulisaidia kanisa na taifa mmekengeuka, badilishen njia zenu na muungame mmurudie kristo, anaebisha juu ua haya tafadhali awaangalie WENGI wa waseminary waluoko vyuoni ni aibu kubea kwa kanisa katoliki.
haya wale wenzangu wa st. Peters seminary wapo wapi!?mwakumbuka ku-escape kwenda desert kununua maandazi au kipindi cha joint mass na kilakala mbna mashati ya tomato yalikoma
kwa kadiri kichwa cha hii post kinavosema bila shaka nawe utakuwa ni ex seminarian,je nawe umelawitiwa ili kiwe kithibitisho?
Mie nlisoma miezi kadhaa tu, nkagoma. Nilihisi nitamla mwinjilisti, karudi zangu kwa wagalatia.
kama nani?
kwa ujumla maisha ya seminari yamechangia sana kutufanya kuwa namna tulivyo sasa... long live seminaries...
kwa ujumla maisha ya seminari yamechangia sana kutufanya kuwa namna tulivyo sasa... long live seminaries...
Kaka nakumbuka kipaji chako cha kinanda na namna tulivyofanya kazi gazeti la shule pamoja wakati wa Gasper akiwa Chief editor nakukubali sana! Pia tukija church bro ulikuwa kipaji sana kwenye kinanda saizi sijui niaje kwenye hayo maishu; pia ulikuwa unasulubu sisi ambao sauti zetu zilikuwa hazitoki, tunalala na kudoji kwaya na misa sometyms wakati ukiwa choir master kwakweli tulijengana na kufundishana mengi tukiwa seminari! Long live wagala; long live Maua Seminary!!!
hivi huyo dogo ndo Gasper Assenga co......
Are u familiar with Frasema?