NAAMINI
JF-Expert Member
- Oct 14, 2013
- 672
- 235
- Thread starter
- #221
Seminari kwa ujumla inawatayarisha vijana walioiva kabisa kimaadili na kitaaluma. Mimi kijana wangu amesomea Seminari mpaka kidato cha nne tu lakini msingi alioupata umemuwezesha kufika mbali kimasomo. Hongereni sana Seminari zetu.
natumai ww u mzazi wa huyo kijana na umeona umuhimu wa seminari...Mungu akubariki sana mkuu!!!