karatu boy
Member
- Nov 2, 2013
- 42
- 11
kidogo sana...sema huyu dogo alisomaga hapo na nilitokea na ukonga parish....ni chalii alikuwaga anapenda sana kuwa padre alikuwa mpole na mnyenyekevu sana hadi tukawa tunamuita ndugu mkapuchini......sijui aliendeleaga huyu chalii
Nimekumbuka maisha ya Rubya Seminary tukiws na misemo ya silensium magnum; INCAUDA VENENUM; tridum sacrum; niliyafurahia sana. Pia namkumbuka kashera; kajoki; majaba; chaba; chako n.k
Waliosoma seminary za Kikatoliki wengi wamelawitiwa/wamelawiti ma Father, ushahidi huu hapa:
He was my priest and my friend. Then I found out he was a paedophile | Comment is free | The Observer
Si Tanzania tu ni dunia nzima:
Catholic sex abuse cases - Wikipedia, the free encyclopedia
Mliosoma seminari za Kikatoliki fungukeni mponeshe majeraha kwa kuondoa madukuduku ya siri mbaya zilizowakaa moyoni.
Mkuu unatumia wikipedia kuhalalisha dhamira yako ovu dhidi ya taasisi ambayo huitambui? MODs watu kama hawa delete kabisa hawapaswi kuitwa great thinkers ni aibu kwa forum yenu
naona haujui kiswahili vizuri maana ya neno kisenge ni nn?
na je nimemaanisha nn?
sadaka gaani ulinichangia maana mm nilikuwa nalipa karo sasa sijui povu la kutoka la nn?
Hahahaa, we Julius? Umesahau Kaponko, Nyarubanya n.k Mi nilienjoi kuonja divai sakristia (Mkombozi)
wewe siyo great thinker bali mdini mkubwa ndiyo maana unatumia wikipedia na viblog uchwara vya kina david stewart ambao naamini unafahamu kabisa ni wazushi lakini kwa lengo la kuhalalisha nia yako ovu dhidi ya taasisi inayoheshimika nchini unawatumia kutukana kanisa.
dahh..mkuu..kuna jamaa mmoja alikuwa mwanaharakati sana alikuwa akiitwa Flondu,duzu,mponda,kipemba n.k.huyu chalii flondu(ndunguru) aliendaga mlimani chuo kikuu akawa mwanaharakati sana wakati ule aisee wakala kichwa(walimwekea incomplete)waliona atakuja sumbua ila alisaidia sana ktk mgomo wa kupandisha boom hadi 7000...huyu jamaa yupo wapi dogo mana nilimwacha hapo sps niliondoka 2004 form four....nilimfuatilia sana harakati zake cjui kwa sasa yuko wapi huyu jamaa´.
Utabisha ukweli?
Mimi sijasoma seminari lakini nimesoma habari za seminari jinsi wanavyolawitiana huko na baadhi ya link za niliyoyasoma nimewawekea kwenye hiyo post yangu uliyoijibu na nyinginezo, humu humu kwenye hii nyuzi.
Funguka. Jee, wewe umesoma seminari? unaweza kufunguka?
hivi ww mama FaizaFoxy hunaga kazi wewe ni dini tu dini tu kila kitu unahusianisha na dini na ww haangalii uzuri wa kitu bali unapekua uchafu wake!!!
Hakuna dini safi mbona hata nyie wanabakana misikitini kama huko kigoma, mnafunuana buti (Kabang) kama huko pemba, unguja, tanga na mombasa!
sisi hatuyaongelei sio kwamba hatuwezi; ila yana jenga imani ya mtu au kama ukiongelea na kudadisi ww ni mwema!!! au ww mama hujawahi tamani mume au mwanaume akuangushe, mali ya mtu mwingine, kumdharau mmeo, kutoka nje ya ndoa nk? hata kama swala tano na unatawaza kila unakoenda usijione msafi bwana kila mwanadamu ana makosa, so hata hawa viongozi wetu wa dini ikiwa na hao wako ambao unawanafikia kama wema; ila kuwasema unawasaidia kukuongoza ww na waumini wenzako kwa Mungu. Embu fungua bichwa lako hilo uelewe kuwa kuwa kiongozi wa dini hakukuondolei ubinadamu wako kujaribiwa na shetani (shetwan); bali inakusogeza karibu na Mungu, kuwaongoza wengine kuzipata neema za kushinda zambi na kurithi ufalme wa mbingu! Na ukiwa unasoma vitu usichukue kama unabeba Toilet Paper unaenda chooni au maji kwenye bobo unaelekea msalani bali chukua unayosoma changanya na yako ndio upost sio unakuwa kama zuzu bandika na kubandua!
Na pia uelewe maisha sio udini na kushadadia dini ya watu wengine; kazana kujielimisha dini yako muda wote huo umeshinda unasearch maovu ya kanisa ungeshashika maaya kadhaa ya Qoran yako na hadithi za mtume wako Mohamed SAW na sio kila ukiona katoliki upo!? ww mwanamke wa wapi mbea hivyo! Kila thread mguu, mguu tu!!! Na ww fanya yako na kama umeolewa kaa na mumeo ujenge familia yako na uimarishe imani yako!!! Mambo hayakuhusu pita kule huku thawabu desh (hakuna) hizo ni huko huko kwenu!!!
Okey nilidhani ulivosoma kichwa cha hii mada umeelewa.Kuhusu mimi kama nimesoma seminary rudi kwenye heading ya hii thread utapata jibu
wewe siyo great thinker bali mdini mkubwa ndiyo maana unatumia wikipedia na viblog uchwara vya kina david stewart ambao naamini unafahamu kabisa ni wazushi lakini kwa lengo la kuhalalisha nia yako ovu dhidi ya taasisi inayoheshimika nchini unawatumia kutukana kanisa.