hivi ww mama FaizaFoxy hunaga kazi wewe ni dini tu dini tu kila kitu unahusianisha na dini na ww haangalii uzuri wa kitu bali unapekua uchafu wake!!!
Hakuna dini safi mbona hata nyie wanabakana misikitini kama huko kigoma, mnafunuana buti (Kabang) kama huko pemba, unguja, tanga na mombasa!
sisi hatuyaongelei sio kwamba hatuwezi; ila yana jenga imani ya mtu au kama ukiongelea na kudadisi ww ni mwema!!! au ww mama hujawahi tamani mume au mwanaume akuangushe, mali ya mtu mwingine, kumdharau mmeo, kutoka nje ya ndoa nk? hata kama swala tano na unatawaza kila unakoenda usijione msafi bwana kila mwanadamu ana makosa, so hata hawa viongozi wetu wa dini ikiwa na hao wako ambao unawanafikia kama wema; ila kuwasema unawasaidia kukuongoza ww na waumini wenzako kwa Mungu. Embu fungua bichwa lako hilo uelewe kuwa kuwa kiongozi wa dini hakukuondolei ubinadamu wako kujaribiwa na shetani (shetwan); bali inakusogeza karibu na Mungu, kuwaongoza wengine kuzipata neema za kushinda zambi na kurithi ufalme wa mbingu! Na ukiwa unasoma vitu usichukue kama unabeba Toilet Paper unaenda chooni au maji kwenye bobo unaelekea msalani bali chukua unayosoma changanya na yako ndio upost sio unakuwa kama zuzu bandika na kubandua!
Na pia uelewe maisha sio udini na kushadadia dini ya watu wengine; kazana kujielimisha dini yako muda wote huo umeshinda unasearch maovu ya kanisa ungeshashika maaya kadhaa ya Qoran yako na hadithi za mtume wako Mohamed SAW na sio kila ukiona katoliki upo!? ww mwanamke wa wapi mbea hivyo! Kila thread mguu, mguu tu!!! Na ww fanya yako na kama umeolewa kaa na mumeo ujenge familia yako na uimarishe imani yako!!! Mambo hayakuhusu pita kule huku thawabu desh (hakuna) hizo ni huko huko kwenu!!!