View attachment 129901 haya wadau wa SPS nimepakumbuka hapa mahali kweli, wapi Mwl. Exuper? long live SPS
Mdau weye ni mr. KADUDU aah nimekukumbuka kumbe weye ndio ulikuwa bingwa wa kubundi hadi ukadondoka kanisani?hakika hapo ndipo tulipokuwa tunakutana morning assembly....nakumbuka sana morning speech.....exuper kibonge....ah ah ha viva st.peters seminary.
Heading ya hii thread ndiyo ilinifanya niingie na kuwaeleza madudu niliyoyasoma kuhusu seminari za kikatoliki na link nimewawekea. Jee, wewe seminari uliyosoma hujayafanya hayo ya kulawitiana?
Sijawahi na sikuwahi sikia vitu vichafu katika seminari yangu hiyo ni uhakika source ni myself na hii ni primary source of information.Okey utasikia mengi tu kuhusu uchafu ila kujua kama ni ukweli au lah hapo changanya na za kwako.
Mkuu Seminari za kikatoliki hakuna wainjilisti..
Wewe utakuwa umesoma shule ya dini na si seminari...
Seminari ni sehemu vijana wanapoandaliwa kuwa watawa...hii ipo kwa wakatoliki pekee...
Kwani fratery, shemasi, padri, mabruda sio wainjilisti?
SIO wainjilisti...mfano padre na shemasi ni makreli(wana kitu kanisa inaita apostolic succession) na mafrateli,mabruda hawa ni bado walei so hawaingii kwenye urika...mwinjilisti cmjui na hayupo ktk ngazi yoyote ndani ya kanisa takatifu katoliki la mitume..kifupi canon book haijamuongelea huyu mwinjilisti na hao wainjisti hawana apostolic succesion ndo mana haitwi padre.......hivyo itakuwa ni vyeo vya huko kwenu mchungaji,mwinjilisti,wazee wa kanisa etc.....pia hata majina huoni yapo tu tofauti....kwa leo ni hayo tu
Nashawishika kuamini wewe ni miongoni mwa wale form iv ambao hawakufanyiwa graduationWapi vijana wa Mobutu alias Nkwande pale Nyegezi?
Basi, kwangu mie hata padri ni mwinjilisti tu, kwa kuwa mwinjilisti ni mtu anayeeneza unjili. Huko kwetu ni wapi? Na kwa nini unadhani kwetu kwaweza kuwa tofauti na kwako?
daaah!Maisha fulani ya kisenge kwa sisi tuliosoma kule BUKOBA rubya seminary
Waalimu sio professional yaani ni full mapriest wenye philosophy na Theology....classs full porojo na student based learning....yaani mwalimu ka hana uhakika fulani anasubiri mwanafunzi aliyepiga zake tuition aje kutufundisha....
Anywayz nilipenda life hilo maana nimeadapt kuishi hata envt iwe harsh kivipi
hahaha waseminary mmenifurahisha mno kumpuuza mmama mdini hapa jf FaizaFoxy .mzazi anasomesha mtoto ktk shule the like of al haramain seminary or kindononi muslim secondary,anamaliza form four/six with a division four/zero certificate.he/she comes home and offers nothing to the family/society.now try to imagine that anger a parent could feel,no wonder why FF has gone mad and jealous about you seminarians cos ur academic perfomance is always astonishing.i admire you guys for real.ONE.
hahaha waseminary mmenifurahisha mno kumpuuza mmama mdini hapa jf FaizaFoxy .mzazi anasomesha mtoto ktk shule the like of al haramain seminary or kindononi muslim secondary,anamaliza form four/six with a division four/zero certificate.he/she comes home and offers nothing to the family/society.now try to imagine that anger a parent could feel,no wonder why FF has gone mad and jealous about you seminarians cos ur academic perfomance is always astonishing.i admire you guys for real.ONE.
We kichaaa kwel,unajua maana na asili ya neno seminary??,ama unakariri kila inayoitwa seminary ni real seminary kwa taarifa yako seminar ni real na asili n za kikatoliki wengine wanakopy.na ndo mana mleta uzi kaandika seminary za kikatoliki ama wasemiarist.nikupe mfao,makoko seminary,nyegezi,sengerema,maua,uru,katoke n.k hizo ndo seminary.mi nimesoma mojawapo ya hizo O level na huwez amin nimemaliza Olevel sijui div 3 na 4,zinaanzia point ngapi,mtu alikuwa akifel sana miaka yetu ana div 2 point 21,.wakat huo 1pint 7 zipo kama 4 hadi 5,.yan unakuja kusema et seminary inaitwa al...sijui nn tena kinondon??,u man be serious please.
dah pand flan hv za bihawana seminary nmemiss sana mvinyo cz kuna kiwanda cha kutengeza mvinyo na maisha mengne kwe ujumla St.Augustine seminary,father mwaja,father ndaona na father kilolelo oyeeee