Kwa wale waliosoma Seminari za Katoliki

Kwa wale waliosoma Seminari za Katoliki

hakika hapo ndipo tulipokuwa tunakutana morning assembly....nakumbuka sana morning speech.....exuper kibonge....ah ah ha viva st.peters seminary.
Mdau weye ni mr. KADUDU aah nimekukumbuka kumbe weye ndio ulikuwa bingwa wa kubundi hadi ukadondoka kanisani?
 
Heading ya hii thread ndiyo ilinifanya niingie na kuwaeleza madudu niliyoyasoma kuhusu seminari za kikatoliki na link nimewawekea. Jee, wewe seminari uliyosoma hujayafanya hayo ya kulawitiana?

Sijawahi na sikuwahi sikia vitu vichafu katika seminari yangu hiyo ni uhakika source ni myself na hii ni primary source of information.Okey utasikia mengi tu kuhusu uchafu ila kujua kama ni ukweli au lah hapo changanya na za kwako.
 
St Joseph Kilocha Seminary ya Jimbo la Njombe nakumbuka enzi hizo tunapigania kuwa sawa kama shule nyingine za Njombe secondary,basi rector Sapula akawa anatulinganisha na waisrael pale walipokuwa wanasema we want to be like other nations.
 
Sijawahi na sikuwahi sikia vitu vichafu katika seminari yangu hiyo ni uhakika source ni myself na hii ni primary source of information.Okey utasikia mengi tu kuhusu uchafu ila kujua kama ni ukweli au lah hapo changanya na za kwako.

mwacheni huyu mjinga tuendelee kuongea mambo yetu waseminari
 
mwacheni huyu mpuuzi na tujadili mambo mengine zaidi ambayo ni ya msingi....vipi mlioko vyuoni na maofisini ninyi mliopita maseminarini je mnaumoja na ushirikiano ndugu...
 
Kwani fratery, shemasi, padri, mabruda sio wainjilisti?

Mkuu Seminari za kikatoliki hakuna wainjilisti..
Wewe utakuwa umesoma shule ya dini na si seminari...
Seminari ni sehemu vijana wanapoandaliwa kuwa watawa...hii ipo kwa wakatoliki pekee...
 
Kwani fratery, shemasi, padri, mabruda sio wainjilisti?

SIO wainjilisti...mfano padre na shemasi ni makreli(wana kitu kanisa inaita apostolic succession) na mafrateli,mabruda hawa ni bado walei so hawaingii kwenye urika...mwinjilisti cmjui na hayupo ktk ngazi yoyote ndani ya kanisa takatifu katoliki la mitume..kifupi canon book haijamuongelea huyu mwinjilisti na hao wainjisti hawana apostolic succesion ndo mana haitwi padre.......hivyo itakuwa ni vyeo vya huko kwenu mchungaji,mwinjilisti,wazee wa kanisa etc.....pia hata majina huoni yapo tu tofauti....kwa leo ni hayo tu
 
Basi, kwangu mie hata padri ni mwinjilisti tu, kwa kuwa mwinjilisti ni mtu anayeeneza unjili. Huko kwetu ni wapi? Na kwa nini unadhani kwetu kwaweza kuwa tofauti na kwako?

Mie ninamisi semina za urafiki, na mambo ya mikesha, tjuliopoa videmu balaaa!!!!
 
Basi, kwangu mie hata padri ni mwinjilisti tu, kwa kuwa mwinjilisti ni mtu anayeeneza unjili. Huko kwetu ni wapi? Na kwa nini unadhani kwetu kwaweza kuwa tofauti na kwako?

Sasa hiyo ni kwako na kwa kweli cwezi kukupinga kwa sababu ni kwako....baki na hicho cha kwako...kila la heri mkuu...
 
daaah!Maisha fulani ya kisenge kwa sisi tuliosoma kule BUKOBA rubya seminary
Waalimu sio professional yaani ni full mapriest wenye philosophy na Theology....classs full porojo na student based learning....yaani mwalimu ka hana uhakika fulani anasubiri mwanafunzi aliyepiga zake tuition aje kutufundisha....

Anywayz nilipenda life hilo maana nimeadapt kuishi hata envt iwe harsh kivipi

maisha ya rubya seminari si, hayajawahi na hayakua ya kisenge...p.u.m.b.a.v.u zako.....mjinga wewe
 
hahaha waseminary mmenifurahisha mno kumpuuza mmama mdini hapa jf FaizaFoxy .mzazi anasomesha mtoto ktk shule the like of al haramain seminary or kindononi muslim secondary,anamaliza form four/six with a division four/zero certificate.he/she comes home and offers nothing to the family/society.now try to imagine that anger a parent could feel,no wonder why FF has gone mad and jealous about you seminarians cos ur academic perfomance is always astonishing.i admire you guys for real.ONE.
 
Last edited by a moderator:
Tatizo hii thread imeingiliwa na waropokaji na wasiojua lolote kuhusu Seminary, pasipo kujua kwamba hakuna mahali ambapo maisha ya shule ni smooth muda wote. Endeleeni kupayuka tu hivyo hivyo, watu tumeshatoka huko. SALA, KAZI NA MASOMO. Long live ARUCASE.
 
Franciscan Seminary Maua and Saint Francis of Assisi our patron!
 
Attachments

  • 1389067377411.jpg
    1389067377411.jpg
    104.3 KB · Views: 160
  • 1389067419842.jpg
    1389067419842.jpg
    11.8 KB · Views: 161
  • 1389067448163.jpg
    1389067448163.jpg
    53 KB · Views: 159
hahaha waseminary mmenifurahisha mno kumpuuza mmama mdini hapa jf FaizaFoxy .mzazi anasomesha mtoto ktk shule the like of al haramain seminary or kindononi muslim secondary,anamaliza form four/six with a division four/zero certificate.he/she comes home and offers nothing to the family/society.now try to imagine that anger a parent could feel,no wonder why FF has gone mad and jealous about you seminarians cos ur academic perfomance is always astonishing.i admire you guys for real.ONE.

ok..thanx a lot mkuu....
 
We kichaaa kwel,unajua maana na asili ya neno seminary??,ama unakariri kila inayoitwa seminary ni real seminary kwa taarifa yako seminar ni real na asili n za kikatoliki wengine wanakopy.na ndo mana mleta uzi kaandika seminary za kikatoliki ama wasemiarist.nikupe mfao,makoko seminary,nyegezi,sengerema,maua,uru,katoke n.k hizo ndo seminary.mi nimesoma mojawapo ya hizo O level na huwez amin nimemaliza Olevel sijui div 3 na 4,zinaanzia point ngapi,mtu alikuwa akifel sana miaka yetu ana div 2 point 21,.wakat huo 1pint 7 zipo kama 4 hadi 5,.yan unakuja kusema et seminary inaitwa al...sijui nn tena kinondon??,u man be serious please.
 
this is too low ,it differs with what i had posted.plz read anew in details my previous post.jipime mwenyewe kwa ulicho andika hapa,then come tell me who is suffering frm mental illness/disorder.
 
dah pand flan hv za bihawana seminary nmemiss sana mvinyo cz kuna kiwanda cha kutengeza mvinyo na maisha mengne kwe ujumla St.Augustine seminary,father mwaja,father ndaona na father kilolelo oyeeee

Jamani wale wa St.Augustine (Bihawana) Seminary vip mnakumbuka mambo ya Monsoon wind,shule inapofunguliwa January? Vipi kupigana mnyengo bado kunaendele!!! Na taulo je,nimemiss madini na mapoozeo.Jamani,nani anafahamu Fr.Adam Basil Msendo Mmbando aliko? Namiss sana class zake za Civics.But of all Nammiss sana a true gentleman Fr.Eligius Ikaji aka MUUNGWANA.

Naikumbuka sherehe ya Mtakatifu Augustino trh 28 August every year ni full mnuso."Deus creavit te sine te sub none saluabit te sine te" wapi Muungwana.....Naikubali seminary hii ilinishape...Long leave seminary schools......
 
Back
Top Bottom