Kwa wale waliosoma Seminari za Katoliki

Niliwahi kwenda maua seminary jamani ni pazuriiiii[emoji7][emoji7][emoji7]
Halafu kuna matunda ya kila aina hali ya hewa nzurii waeza fikiri ni sehemu tofauti na kilema very unique..
I wish my son asome seminary watu wote naowafahamu wamesoma seminary wana maisha mazuri sana
Hongereni wote mliobahatika kusoma seminary
 
Bila hiyo ni Rubya seminary
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mleta Uzi unaanzaje kuisahau St. Mary's Seminary Nyegezi. Seminari iliyopo Jijini kabisa?

Fr. Renatus Nkwande na leo Askofu wa jibmo la Geita, ni kati ya mapadri walionivutia sana alipokuwa Rector pale St. Mary's Nyegezi Seminary. Mwenyezi Mungu amjalie maisha marefu katika maisha yake ya utume.
 
Halijui asemalo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
[emoji23][emoji23]shkamoo Baba


2011-2014 n mimi niliishi SPS
u e
deserve to be my father sio kwa uhenga huo[emoji1]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wakati nipo Form 5. Rector wangu alikuwa huyu Askofu wa Jimbo la Tunduru Masasi wa sasa. Jina la seminari lipo kapuni.
 
Tuition watu wanaenda kwa mkumbo tu imekuwa kama fasheni lakini siku hizi wanaona kama wanachofundishwa seminarini Bado hakitoshi

Tumbo ndio Linalotembea,Miguu ni Mikongojo tu.
Enzi hizo ukija na material yako ya tuition, yafiche huko unakojua wewe yasionekane maana ulichofundishwa kilitosha na pia mzingira na vitendea kazi vya kujifunzia vilitosha kabisa, kuanzia, Library, Maabara, mabweni n.k. na tulishuriwa ukienda likizo ni muda wa kupumzika sio kusoma, na watu walifaulu, sijui siku hizi kuna nini kimetokea maana ufaulu ni wa kawaida.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…