Kwa wale waliosoma Seminari za Katoliki

Kwa wale waliosoma Seminari za Katoliki

bila kusahau st.peters seminary ya morogoro...hakika ilikuwa ni kama mbinguni...wale wa desert...
SPS wazee wa ngoma ya mganda[emoji23]
Kagwa, Tuzinde, Mulumba, Mukasa, Kizito[emoji2]. Nlikaa kote kasoro Kizito na Tuzinde.
Wakati naingia SPS nakumbuka nlipokelewa na walimu maveterani Mfaume (aka Botta) & Kilambo, wapumzike kwa amani[emoji22]

the Legend☆
 
Fr. Renatus Nkwande na leo Askofu wa jibmo la Geita, ni kati ya mapadri walionivutia sana alipokuwa Rector pale St. Mary's Nyegezi Seminary. Mwenyezi Mungu amjalie maisha marefu katika maisha yake ya utume.
Alikuwa Askofu wa Jimbo Katoliki la Bunda, sasa hivi ni Askofu Mkuu Mteule wa Jimbo Kuu Katoliki la Mwanza. Atasimikwa April mwanzoni.
 
Alikuwa Askofu wa Jimbo Katoliki la Bunda, sasa hivi ni Askofu Mkuu Mteule wa Jimbo Kuu Katoliki la Mwanza. Atasimikwa April mwanzoni.
Ok Sorry, nilipitiwa katika uandishi , asante kwa kunikumbusha. Nilijua siku moja Mwanza ndilo litakuwa jimbo lake, maana trend ilianza kuonekana siku nyingi.
 
St joseph or kaengesa seminary...dah enzi za mzee matipa na sangu mkubwa kama lector...issue za kuchoma mahindi msituni....issue za kukata mkia form one...tarehe tisa mwizi wa tisa saa tisa usiku....
Namkumbuka Fr Sangu ambaye alikuwa Rector. Dah umenikumbusha mbali sana. Mto Amina
 
Wale wa Rubya seminary nadhani hapa mnapafahamu
tapatalk_1548361784553.jpeg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Fr. Renatus Nkwande na leo Askofu wa jibmo la Geita, ni kati ya mapadri walionivutia sana alipokuwa Rector pale St. Mary's Nyegezi Seminary. Mwenyezi Mungu amjalie maisha marefu katika maisha yake ya utume.
Nkwande ndio Askofu Jimbo la Mwanza sasa Kama sijakosea baada ya Kuondoka Ruwaichi mkuu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wakati nipo Form 5. Rector wangu alikuwa huyu Askofu wa Jimbo la Tunduru Masasi wa sasa. Jina la seminari lipo kapuni.
Mkuu utakuwa unamzungumzia Mhashamu Baba Askofu Mhasi na Kasita seminari. Nami ni product ya Kasita ya Mhasi.
 
Back
Top Bottom