Kwa wale waliosoma Seminari za Katoliki

Kwa wale waliosoma Seminari za Katoliki

St.Peter's Seminary Morogoro: Ukiingia getini unakutana na Our Mottor is Pray,Study,Work Ukitoka Unaambiwa Remeber our Motto: Wapi Fr.Carol Mroka, I like that Man,fr.Sewando,Fr.Patrick Kung'aro: Anthem yetu "Baba Petro Msimamizi wa shule yetu kwakuomba utuombee kwa bwana Mungu wetuuuu,Baba Petroo.....Natafuta Contact za Fr.Pastol Kijuuu please anyone in touch with this Fr.please assist. Jamani Jamani where is Brother Msewanga.Mlezi wa TYCS
 
Bihawana Seminary: Anthem..."Augustino Mtakatifu,ni wetu msimamizi mkuu.Kiongozi wetu bora,nguzo yetu twakuheshimu.Na sala x4 zetu pokea utuombee kwa Mungu:
Ni mwana wake Monikaaa,Augustino Mtakatifu...." We acha tuu maisha ya Seminary raha sana kwa wasio watukutu.
Rector wetu R.I.P Fr.Damas Mpunta,
 
St.Peter's Seminary Morogoro: Ukiingia getini unakutana na Our Mottor is Pray,Study,Work Ukitoka Unaambiwa Remeber our Motto: Wapi Fr.Carol Mroka, I like that Man,fr.Sewando,Fr.Patrick Kung'aro: Anthem yetu "Baba Petro Msimamizi wa shule yetu kwakuomba utuombee kwa bwana Mungu wetuuuu,Baba Petroo.....Natafuta Contact za Fr.Pastol Kijuuu please anyone in touch with this Fr.please assist. Jamani Jamani where is Brother Msewanga.Mlezi wa TYCS

dahhh..mkuu kung'aro c rector tena kwa sasa ni monsinyori na vicar general wa jimbo la moro...then msawanga alishaliwa kichwa kitambo sanaa pale sps pia carol nimesahau kwa sasa alipo.....nafuraha sana kuwa alumnai wa st.peteres.
 
Faizafoxy.
Dini confussion itokanayo na mafundisho mabovu. Hakuna kitu kama Mungu aliyekaa mahali fulani kama mnavyoombiwa. Mungu ni Omnipotent, Omniscient na ni onmipresent Tafuta maana ha hayo maneno ndio utajua kwa nini mnajilipuaga.
 
mkuu huyo mama mwache tu hajui analolinena mana wao mapungufu huwa wanayaona kwenye kanisa imara na lenye nguvu duniani...
 
Tumsifu Yesu Kristu.......... jamani mpo na maisha yanaendaje ebu tukumbushane yale maisha wakati ule tupo kitaluni kule seminarini, mambo ya masifu ya asubuhi, misa takatifu, joint masses n.k. Hakika nimeyamisi sana yale maisha visiga seminary,st.peters seminary,st.james sem,uru seminary,maua seminary,likonde sem,stella matutina(ligano),kasita sem,don bosco sem,bihawana sem,lubya sem,itaga sem...n.k...na enzi zetu nakumbuka tokeo la form four na form six yani seminary zilikuwa ziking'aa...nimekumbuka sana seminar´..

so what..........................
 
hivi yule mlinzi wa pale getini alikuwa anaitwaga nani? na vile viwanja vyetu vya mpira vipo sijui wembley, na kile karibu na getini ambavyo ni vya form one na form two, for three na form four vipo? aisee nimekumbuka siku ya beche na vigozi, enzi zile kwenda orchad pale karibu na fathers house ni balaa, usiombee ukatane na Kofta mbona utajuta..... najivunia kuwa sps almuni
 
ha ha ha Zainabu walishakula kichwa kitambo so hayupo pande zile,viwanja vyote vipo kwa sasa...beche na ndizi za desert na kachumbali ya desert...huku ngombe walikuwa wakitoa lita ishirini mafather walikuwa wakiamini walikuwa wakitoa lita nane kilichofuata hizo 12 nafikiri unajua nn kilifuata....cofta alikuwa noumer mana padre kafupi na ndo mtu pekee alieweza kamata watu desert....mkuu unakumbuka tukio la wale jamaa kuiba wali muda ambao tulikuwa benediction....hakika sps..
 
Inaonesha wazi kuwa kuna watu wanakubali sana waseminari kutokana na tulivyo sasa... pia inaonesha kuna watu wanatuonea wivu sana kwani ni vigumu kumpata mtu aliyepita seminari na akapoteza muelekeo wa maisha hata kama hakumaliza masomo.
Binafsi huwa ninawakumbuka sana wenzangu hata ambao hawakuwa wa darasa langu....
Nilikuwa na marafiki kibao chuoni lakini kiukweli huwa siwakumbuki kama wale wa seminari...
Long live SAJASE....
 
dahh mkuu unanena kweli....hata mimi nawakumbuka sana waseminari niliokuwa nao pale kwa mama sajase kilema....nakumbuka masaela,nakumbuka kwenda kule fallow n.k.
 
dah umenkmbsha mbal xana enz hizo makoko seminary tulikuw tunakipimbiza sana.....,
 
Rest in Peace His Rt Rev. Amedeus Msarikie- St. James Semonary!! Alikuwa kiongozi mwema sana Kiroho na mkali pia. He molded young boys spiritually and morally. We are who we are!!
 
Rest in Peace His Rt Rev. Amedeus Msarikie- St. James Semonary!! Alikuwa kiongozi mwema sana Kiroho na mkali pia. He molded young boys spiritually and morally. We are who we are!!

daahh kumbe mkuu na ww ni mtt wa mama sajase...
 
Back
Top Bottom