Kwa wale waliowahi kutunza siri nzito kwa muda mrefu tukutane hapa

Kuna jamaa alimbandua mke wa mganga wa kienyeji..
Usione wehu town wamejaa wana siri yao.
Endelea mzee baba. Niko hapa msoma comment na kikombe changu cha kahawa.. nafwatilia huu uzi kwa umakiiiiiini.
 
Et! kwa mfano kuna kosa ulifanya tangu 1944 sasa ukalisema leo unaweza chukuliwa hatua kweli?
 
Nilimgegeda shemeji yangu, bro alikuwa masomoni. Siku hiyo shem aliamua kunipa offer ya bia, tupo bar huku yupo mbwi Mara ashike rungu langu, Mara Shem umejaliwa una dude kama la punda.

Sasa ningefanyaje wakati shetani alinishikia kisu akinilazimisha nimgegede Shem, mwaka wa nne kimya na sitaki hata kumuona Shem.
Sio wanawake wote ni wakuoa.

Mungu nisamehe.
 
Kifo cha jambazi huwa hakiko mbali sana kama cha mtu mwema.
 
Kukamilisha mlo kamili ungeruka ukuta ukala na sumaku. Siri hiyo asingemuambia mtu...
 
Duuh ukute bado mnagegedanaa
 
Sisi wenye Introvesy personality kutunza siri siyo shida. Tell me your secret and you wont hear it anywhere.. "A dead end"..
Tuna vitu vingi sana tutakufa navyo moyoni.
 
😎😎😎😎😎
 
Duuuh mkuu ulikuwa na hofu sana kuona chombo cha moto!! Vipi jamaa walikuwa wa kawaida tu au makauzu sana?
 
Mwaka 1995 kuna ndugu yetu alipatwa na matatizo ya kidunia ikatulazimu kumepeleka Kijiji cha Kisimatui, Tanga kwa Mzee (jina kapuni). Siku ya kwanza kufika kule tukakutana na waziri mmoja hivi wa kanda ya kaskazini (maziwa makuu) kapeleka mbuzi wawili mweusi na mweupe kwa ajili ya makafara yake.

Ile siku tulilala kule kutokana na maradhi ya ndugu yetu na yule waziri alilala pale na mkewe ila walilala ndani ya Pajero lao. usiku ule walichinja wale mbuzi na kuondoka usiku ule ule, asubuhi kufika wakaja mawaziri wengine 2 sijuwi kama walikuwa marafiki au walikutana tu njiani kuelekea kule kijijini, nao walikwenda na mbuzi wao kila mmoja na wake. Nao wakafanya makafara yao na kuondoka.

Sie tukabaki kuulizana kumbe na hawa wasanii wanayaabudu haya mambo ila wanajifanya hawajuwi kitu. Baada ya Mla panya (Mkapa) kuchukua nchi wale mawaziri wote walikuwa na vyeo vyao na mmoja akaachishwa kazi kwa manufaa ya umma baada ya kuiba hela wizarani kwake. Baada ya kuona haya matukio ya mawaziri live siamini mbunge wala waziri yeyote, wote nawaona ni washirikina tu kwani wasiporoga wenzao wanawamaliza.
 
Mwanzo wa balehe yangu nimelala na mama yangu mdogo kabisa Kama ujuavyo kina hupenda kulala na chupi tu, kidume usiku si nikaanza kupekua kichuguu, chakushangaza mama yangu yule alitulia kimya kabisa mpaka nikatupia mzee, lakini yaliyonipata kesho yake asubuhi alinipiga kipigo cha mbwa Koko.

Sielewi Kama mama na wajomba zangu aliwaambia nini alichonipigia sijui ila ktk Rika letu hakuna aliyejua ni kwanini nilipigwa kipigo kiasi kile siku ile imebaki Siri yetu Mimi na mamdogo.

Ni miaka karibia 30 iliyopita na wote tupo hai enz hizo Tabora vijijini huko....dah[emoji36][emoji36]
 
duh! Mazengo yule yule karibu Na Imalaseko!!!? Sitakula tena chips zake.
 
Nimekusaidia kuweka para
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…