Samboko
JF-Expert Member
- Oct 30, 2011
- 5,420
- 7,788
Ili iweje mkuuNenda ka confess kwa rafiki yako
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ili iweje mkuuNenda ka confess kwa rafiki yako
Endelea mzee baba. Niko hapa msoma comment na kikombe changu cha kahawa.. nafwatilia huu uzi kwa umakiiiiiini.Kuna jamaa alimbandua mke wa mganga wa kienyeji..
Usione wehu town wamejaa wana siri yao.
hatari sana... Dunia hiiEndelea mzee baba. Niko hapa msoma comment na kikombe changu cha kahawa.. nafwatilia huu uzi kwa umakiiiiiini.
Et! kwa mfano kuna kosa ulifanya tangu 1944 sasa ukalisema leo unaweza chukuliwa hatua kweli?
Kifo cha jambazi huwa hakiko mbali sana kama cha mtu mwema.Mtu mmoja marehemu Kwa sasa, nikiwa Fundi wa radio za magari. Aliniletea gari yake Isuzu trooper niifunge spika za ubavuni,miaka ya 2008.akaiacha kuwa anamizunguko angeiludia badge. kwani nilikuwa na kazi nyingine nikiifanya. Hivyo nikamaliza kazi ya kwanza na kuanza kazi yake. Nikafungua mlango wa kushoto wa mbele, ubavuni kuna silingboard ili nichonge duara ya kufunga spika. Ile kufungua nusu body tu nikaona suruali [emoji158] Jeans ikiwa imekatwa mguu mmoja ikiwa imelowa mafuta, huku imefungwa na mipila ya baiskeli. Nikashangaa!! Nilipoamua kuitanua ndani sikuamini nilichokiona!! Ilikuwa imejaa risasi!!. Ndugu yangu msomaji nililudishia bila kufunga spika. Nikaona wasijue. Nikawaza hawa ni majambazi tu na wamejisahau. Nikahamia mlango wa kulia. Nilichoona ni bunduki fupi!! Nikaludishia body. Nikaamua kuludi ndani ya workshop nikaendelea na kazi zingine bila kuwaeleza wenzangu. Ghafla mmoja akaja na gari Tex speed. Akaniuliza kazi tayali? Nikamwambia bado ndio nataka kuianza nilibanana. Akasema natoka na gari robo saa nakuja. Alipoludi akawa amefungua zile body akidai ameona anilaisishie. Nikamwambia asante kwani nimebanwa na kazi. Nikafunga wakachukua. Badae miaka mingi nilikuja kumuona ameuwawa na polisi. Ndio jambazi waliovamia ndege Ya madini mgodini .
Kukamilisha mlo kamili ungeruka ukuta ukala na sumaku. Siri hiyo asingemuambia mtu...Nilimgegeda shemeji yangu,bro alikuwa masomoni .siku hiyo shem aliamua kunipa offer ya bia,tupo bar huku yupo mbwi Mara ashike rungu langu,Mara Shem umejaliwa una dude kama la punda.sasa ningefanya je wakati shetani alinishikia kisu akinilazimisha nimgegede Shem.mwaka nne kimya Na sitaki hata kumuona Shem.
Sio wanawake wote ni wakuoa
Mungu nisamehe
Duuh ukute bado mnagegedanaaNilimgegeda shemeji yangu,bro alikuwa masomoni .siku hiyo shem aliamua kunipa offer ya bia,tupo bar huku yupo mbwi Mara ashike rungu langu,Mara Shem umejaliwa una dude kama la punda.sasa ningefanya je wakati shetani alinishikia kisu akinilazimisha nimgegede Shem.mwaka nne kimya Na sitaki hata kumuona Shem.
Sio wanawake wote ni wakuoa
Mungu nisamehe
Sisi wenye Introvesy personality kutunza siri siyo shida. Tell me your secret and you wont hear it anywhere.. "A dead end"..Binadamu katika mazingira mbali mbali,ukumbana na majanga mbali mbali ambayo mengine ni hatari kabisa,
Kuna waliowahi kushuhudia mtu kiauawa na kukaa kimya
Kuna waliowahi kuona mtu anamloga mwingine wakatunza siri,
Kuna waliowahi kuona mwenzao anaibiwa wakakaa kimya,
Kuna waliowahi kushuhudia mtu anabakwa wakakaa kimya,
Kuna waliowahi shuhudia mtu au mke wa mtu anatembea na mwanaume mwingine wakakaa kimya,
Mi siri yangu ambayo sitakuja kuisema ni kamba nilimfumania mjomba mkubwa akiwa anatembea na mke wa mjomba mdogo alafu wakajua kwamba nimejua sikuwahi kuisema ilikanusha, yapata miaka 20 sasa,
Leo kuna rafiki yangu amenambia kwamba akiwa mdogo alimuua mtu akiwa Croatia mwaka 1994 , na hakuna aliyejua,
Mwingine (dr) akasema kuwa amewahi kumuinject mgonjwa UKIMWI kupitia syringe, na akakaa kimya maana alilipwa Hela ya kutosha
Najua na wee una siri umetunza tudokeze
😎😎😎😎😎Mim siwezi kutunza siri, memory ya kuhifadhi data ya kichwa changu kina mambo ya msingi sana ya kuhifadhi..
Siri kesho yake unakuta nimesha sema..
Mim nilisha wahi kumwona mama na mtoto wake wa kike wanamfukia kitoto kichanga.. Usiku hawakuniona kesho yake mapema nikaenda kulisanua..
Nikaja nikumwona msichana mmoja jirani alikuwa akiishi na mdogo wake wa kike dada mtu alikuwa ni fundi wa kushona alikuwa mjamzito ila hakuna aliekuwa anafahamu hakuwa anatoka nje ya nyumba hadi siku anajifungulia nyumbani mdogo wake yupo shuleni, mtoto akamtupa chooni nikashtuka nikalisanua
Kuna jamaa mmoja alikuwa na grosary yake ya kuuza pombe, ilikuwa karibu na kituo kikubwa cha polis, kumbe nyuma yake mchizi alikuwa anauza madawa ya kulevya, wacha nije nilisanue, kumbe pimbi alikuwa na connection na askari wa pale akaja kunshtukia wacha ale sahani moja na mim, wacha nilisanue karibia kituo kizima cha polis walihamishwa na ule mkoa nikahama mazima
Duuuh mkuu ulikuwa na hofu sana kuona chombo cha moto!! Vipi jamaa walikuwa wa kawaida tu au makauzu sana?Mtu mmoja marehemu Kwa sasa, nikiwa Fundi wa radio za magari. Aliniletea gari yake Isuzu trooper niifunge spika za ubavuni,miaka ya 2008.akaiacha kuwa anamizunguko angeiludia badge. kwani nilikuwa na kazi nyingine nikiifanya. Hivyo nikamaliza kazi ya kwanza na kuanza kazi yake. Nikafungua mlango wa kushoto wa mbele, ubavuni kuna silingboard ili nichonge duara ya kufunga spika. Ile kufungua nusu body tu nikaona suruali [emoji158] Jeans ikiwa imekatwa mguu mmoja ikiwa imelowa mafuta, huku imefungwa na mipila ya baiskeli. Nikashangaa!! Nilipoamua kuitanua ndani sikuamini nilichokiona!! Ilikuwa imejaa risasi!!. Ndugu yangu msomaji nililudishia bila kufunga spika. Nikaona wasijue. Nikawaza hawa ni majambazi tu na wamejisahau. Nikahamia mlango wa kulia. Nilichoona ni bunduki fupi!! Nikaludishia body. Nikaamua kuludi ndani ya workshop nikaendelea na kazi zingine bila kuwaeleza wenzangu. Ghafla mmoja akaja na gari Tex speed. Akaniuliza kazi tayali? Nikamwambia bado ndio nataka kuianza nilibanana. Akasema natoka na gari robo saa nakuja. Alipoludi akawa amefungua zile body akidai ameona anilaisishie. Nikamwambia asante kwani nimebanwa na kazi. Nikafunga wakachukua. Badae miaka mingi nilikuja kumuona ameuwawa na polisi. Ndio jambazi waliovamia ndege Ya madini mgodini .
duh! Mazengo yule yule karibu Na Imalaseko!!!? Sitakula tena chips zake.Mie siri ambayo nilisahau kuisema (huwa situnzi siri, hii ilitokea bahati mbaya siku mwambia mtu)
Kipindi hicho nilikuwa huko Tanzania (Dar), ninaishi katikati ya mji kwenye apartment fulani hivi, sasa usiku nikaenda kula chips kwa mgogo mmoja hivi hapo hapo karibu Posta, Lahaula nikakuta ndio analetewa mafuta ya transfoma na mteja wake!
Nilizuga sijaona ili asije akanidhuru.
Sikurudia tena kula chips za Mazengo, mxewuuuu
Walionekana wastaarabu Sana!!Duuuh mkuu ulikuwa na hofu sana kuona chombo cha moto!! Vipi jamaa walikuwa wa kawaida tu au makauzu sana?
Hapa nimesisimkahhahaaaaaaaaa tema mate chin wew!mm dhambi nnazo sikatai (uuaji wa viumbevisivyo na hatia)i..lakini kuna zile dhambi kubwa kubwa(ingawa dhambi zote zinafanana)..hapa tunaongelea zile kubwa kubwa!..sasa ww unaangukia kwenye zile kubwakubwa!UNALO
usihukumu usijehukumiwa😉Hapa nimesisimka
Nimekusaidia kuweka paraNakumbuka ilikuwa mwaka 2000 tulikuwa border ya Mozambique na Tanzania,kunajamaa tulikutana nao Wa Tanzania walikuwa wanavuka mto Ruvuma kuingia Mozambique,mmoja wao akawa amekuja upande Wa mozambique kuja kuangalia Usafiri huku wenzake kawaacha upande Wa pili Tanzania,hawa jamaa walikuwa wakataa mbao.
Basi ikawa Usafiri kakosa na giza limeingia maana kuvuka mwisho ni saa 12jioni,basi tukawa tumekaa upande Wa Mozambique ofisi za uhamiaji huku tunaota moto na kupiga stori,alikuwepo askari mmoja wanawaita guardafrontere,yaani askari Wa mpakani alikuwa amelewa ndiye aliyekuwa analinda ofisi au mwenyeji wetu,basi hawa wabongo wakapanga wakaibe mtumbwi wavuke usiku kama saa Tatu,na mvua ilikuwa inanyesha,huku askari yuko tungi amelala hajui kinachoendelea,baada ya kama nusu saa nikaona wanaludi mmoja,mmoja kimya huku wamelowa kuwauliza kulikoni?
Jamaa wanasema mtumbwi umepinduka wao wamejiokoa lakini jamaa mmoja mbogo amezama,ishu ikaja tumwambie askari huyu aliyelewa?nikawaambia wote tutafungwa na askari Wa mozambiki hawana dogo Maadam kafa Mwenyewe tukae kimya,basi kesho Yake jamaa waliondoka na kuniacha peke yangu nilikuwa na ishu ya kukaa kama wiki pale,kati ya wale jamaa waliondoka mmoja si akasimulia kwenye kwenye Gari alilokuwa anasafiri nalo kwamba kuna jamaa anaitwa fulani amezama Jana usiku.
Kesho Yake jioni ikabidi Ndugu zake waje,walipofika kuulizia kama Ndugu yao kazama,kila mtu anashangaa,mbona huku kuko shwari mpaka askari,hakuna anayejua zaidi ya Mimi,ikabidi waondoke warudi tena Tanzania, yule jamaa aliyezama alikuwa na wafanyakazi wake aliokuwa ameongozana nao,wakawa wanamsubiria nao hawajui kitu ,ilibidi serikali iingilie kati kumtafuta jamaa, walikuja kumpataa baada ya siku 10 huku na Mimi nimeshaondokaa,Siri ni kitu kinachoweza kukuokoa