Kwa wale waliowahi kutunza siri nzito kwa muda mrefu tukutane hapa

Wewe una michezo ya hatari,
 
Hivi kweli huwa mnalala maana, usku kucha mnapost na kulike, nilijua mimi ndie nachelewa kulala, mh kumbe wengine macho yao pilipili,
 
Nimekumbuka limamantilie limoja lilikuwa limanyofoa mavuzii kuweka kwenye vitumbua nikaliona likanibembeleza nisiseme, nikakaa kimya ila nkaachaga kununua kwake
[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…