Ilikuwa utoto mkuu si umsamehe tuu, au alikuf..ra kweli?Mimi kuna kaka yangu mmoja mtoto wa mama mkubwa tulikuwa tunalala wote kitanda kimoja, wakati niko mdogo alitaka kunifila, alikuwa akinigusa na mboo yake huku akinidanganya kunipa pesa, Sijawahi kuisema siri hii hadi hapa. Huyu bro namchukia hadi kesho kutwa, sasa ivi ni dereva alipata ajali na kuvunjika mguu sijawahi kumpa pole wala kumtembelea kwake, nikikumbuka alichonifanyia utotoni.
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787]...Nina hamu niijue hiyo siriKuna vitu sitakuja kuvisema hadi nazikwa, iwe kwa anaenifahamu au asiyenifaham. Iwe ni kwa kuandika au kwa kuongea. Sitakuja kusema.
Duuuh[emoji44][emoji44]....pole mkuu
Nimecheka kwanguvu aiseeAcha masihara" Mavuzi tena "? kwenye bites ""!!!
[emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787]...Nina hamu niijue hiyo siri
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu ulifwanywaje etii....[emoji16][emoji57][emoji44][emoji44], Mbona unanitisha?Narudia tena, sitasema wala kuandika. Hata hii kutoa fununu tu kwamba nna siri nahisi kutetemeka.
Siri ni ya mtu mmoja tu. Vinginevyo inapoteza sifa za kuwa siri
Mkuu ulifwanywaje etii....[emoji16][emoji57][emoji44][emoji44], Mbona unanitisha?
Utakuwa umefanyiwa jambo la aibu kinoma!
Sent using Jamii Forums mobile app
Yani mjita ni mnafiki 100%Nawakumbusha tu,usije mwambia msukuma,mkerewe au mjita siri yako...ni heri ukatangaze kwenye station ya radio!
siwezi kuja kusema tukio moja lilitokeaga _____ tareh 21 mwezi 5 mwaka 200_ na kusababisha kifo cha _____ aliyekuwa maharufu sana jijini ____
jiji lilizima baada ya taarifa za kifo cha _____ kusambaa huku ikisemekana ni majambazi ndio wamemuuwa na hawakuiba chochote
huku polisi wakisema ni tukio la ujambazi yaani hit and run kumbe hata wao hawajui ukweli
ukweli wa lile tukio ni kwamba vijana wa_____ ndio walihusika na mimi kipindi hicho nilikuwa nakaa pale_____ i used to call em bro's/uncles nao wakiniita _____ jr au dogo
walijiamini nini sijui kuongea mbele yangu nahisi ni sababu waliona ni kijana wa ____ mwenzao so siwezi kuwa a threat au one day nitawajoin Katika_____
nilikuja kugundua ilikuwa ni _____ task na ngoja iendelee kuwa hivyohivyo cha muhimu uhai tu
Mie siri ambayo nilisahau kuisema (huwa situnzi siri, hii ilitokea bahati mbaya siku mwambia mtu)
Kipindi hicho nilikuwa huko Tanzania (Dar), ninaishi katikati ya mji kwenye apartment fulani hivi, sasa usiku nikaenda kula chips kwa mgogo mmoja hivi hapo hapo karibu Posta, Lahaula nikakuta ndio analetewa mafuta ya transfoma na mteja wake!
Nilizuga sijaona ili asije akanidhuru.
Sikurudia tena kula chips za Mazengo, mxewuuuu
Mimi ya kwangu bado ni siri sitaki kuitoa hapa........Binadamu katika mazingira mbali mbali,ukumbana na majanga mbali mbali ambayo mengine ni hatari kabisa,
Kuna waliowahi kushuhudia mtu kiauawa na kukaa kimya
Kuna waliowahi kuona mtu anamloga mwingine wakatunza siri,
Kuna waliowahi kuona mwenzao anaibiwa wakakaa kimya,
Kuna waliowahi kushuhudia mtu anabakwa wakakaa kimya,
Kuna waliowahi shuhudia mtu au mke wa mtu anatembea na mwanaume mwingine wakakaa kimya,
Mi siri yangu ambayo sitakuja kuisema ni kamba nilimfumania mjomba mkubwa akiwa anatembea na mke wa mjomba mdogo alafu wakajua kwamba nimejua sikuwahi kuisema ilikanusha, yapata miaka 20 sasa,
Leo kuna rafiki yangu amenambia kwamba akiwa mdogo alimuua mtu akiwa Croatia mwaka 1994 , na hakuna aliyejua,
Mwingine (dr) akasema kuwa amewahi kumuinject mgonjwa UKIMWI kupitia syringe, na akakaa kimya maana alilipwa Hela ya kutosha
Najua na wee una siri umetunza tudokeze
Like za nn sasa? We funguka kama unataka.Kuna mzee mmoja ni rafiki yangu ila kwasasa anastress za kufa MTU
Alinihadithia kisa cha ajabu sana ambacho sitakisema mpk nipate notification za likes zisizopungua 50
Kifupi sana mzee huyu alizunguka karibu magereza yote makubwa tz kosa alilolifanya mwaka 1971 ndio lililompeleka jela akaacha kiasi cha pesa za Tanzania milioni moja na laki NNE amekifukia chini ya ardhi maeneo ya chuo cha ualimu korigwe tanga ametoka jela 1998 toka 1971 anasema anaamini hizo hela zipo mpk Leo ila hakuzifwata kwakuwa zilishabadilishwa noti na sarafu
Ni kisa cha kusisimua mno
Mkuu itoe tu, tuko tayariiiiSiri niliyonayo nikiitoa itabidi dunia iangamie, je mko tayari?
°°ᴶᵉᵃˡᵒᵘˢˢʸ ⁱˢ ᵖʳᵒᶜᵉˢˢ ʸᵒᵘ ᵍᵒ ᵗʰʳᵒᵘᵍʰ ᵇᵉᶠᵒʳᵉ ᵇᵉᶜᵒᵐⁱⁿᵍ ᵃ ʷⁱᵗᶜʰ°°
Acha uchokozi.. Afu siri yako imenitisha kweli kweli[emoji33]Mkuu ulifwanywaje etii....[emoji16][emoji57][emoji44][emoji44], Mbona unanitisha?
Utakuwa umefanyiwa jambo la aibu kinoma!
Sent using Jamii Forums mobile app