Kwa wale waliowahi kutunza siri nzito kwa muda mrefu tukutane hapa

Hakuna siri ya watu wawili ikawa siri tena. Kama unaiona si vyema kujulikana basi kaa nayo mwenyewe ila kama unataka itoke nje basi mwambie mtu wa pili
 
wakondya sana mtabhani
 
Baba kaaga anaenda kijijini asubhi.. afu mida ya saa 11 jioni tunakutana geti la gesti anatoka na pikipiki.. asee kidogo nizimie maana ananichunga kweli..

Nyumbani tulikua tunaangaliana kama madume ya kondoo yaliyo loana
hahahahaha.... Hapo Sasa kila mmoja ndiyo pazuri...mlitoshana nguvu naweza sema,au kitaa tunaita ngoma droo
 
nmecheka sana
 
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji1787]
 
walikua wanafanya nn
 
Nimecheka sana mkuu hasa huu ushuhuda wa pili, huo wa kwanza umeniumiza sana
 
Mimi ninakipaji ambacho nikiongea na mtu kwa kipindi kifupi tu anamwaga siri zake zote. Tangu nikiwa mdogo mpaka xaxa ukubwani. Huwa sielewi ni nguvu gan iko ndani yangu
 
Hatari
 
Hii siri nimekaa na nayo miaka mingi na niliapa kutoisema ila kwa kuwa hatujuani walau leo niiseme maana nimechoka kuintuza... "Mimi vidmate ndo nawekaga maji kwenye Nazi"
 
Hii siri nimekaa na nayo miaka mingi na niliapa kutoisema ila kwa kuwa hatujuani walau leo niiseme maana nimechoka kuintuza... "Mimi vidmate ndo nawekaga maji kwenye Nazi"
Daaah
aiseee
Hata Mimi watu hawajui na kamwe sitowaambia kuwa "Mimi ndiye ninayetoa majibu kwenye calculator"
 
Mimi ninakipaji ambacho nikiongea na mtu kwa kipindi kifupi tu anamwaga siri zake zote. Tangu nikiwa mdogo mpaka xaxa ukubwani. Huwa sielewi ni nguvu gan iko ndani yangu
ushatoa siri boss
 
alikua ni shoga huyo sema all that time ulishindwa kunotice koz alikua anaficha aibu io
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…