kiraremapojoni
JF-Expert Member
- Nov 30, 2018
- 391
- 512
Hakuna siri ya watu wawili ikawa siri tena. Kama unaiona si vyema kujulikana basi kaa nayo mwenyewe ila kama unataka itoke nje basi mwambie mtu wa pili
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
wakondya sana mtabhaniNdugu naomba ututake radhi wakerewe.Hilo ni kabila ambalo limejizolea umaarufu kwa uwezo wa watu wake wa kukaa au kutunza siri.Tokea enzi zile za mwalimu Wakerewe wmekuwa kundi kubwa wakifanya kazi kubwa ya vitengo maalumu,na hili nimeendlea kuthibitika mpk sasa, ukiingia hiyo idara utakutana nao wengi tu.Mkerebhe ni mphele
Ili watunziwe siri zao,au ni nini hasa?Wanawake wengi wanaochoropoa mimba huwa wanapigwa dushelele kwanza.... au baada ya kutoa.
hahahahaha.... Hapo Sasa kila mmoja ndiyo pazuri...mlitoshana nguvu naweza sema,au kitaa tunaita ngoma drooBaba kaaga anaenda kijijini asubhi.. afu mida ya saa 11 jioni tunakutana geti la gesti anatoka na pikipiki.. asee kidogo nizimie maana ananichunga kweli..
Nyumbani tulikua tunaangaliana kama madume ya kondoo yaliyo loana
KumbeNilishawai kumla mbunge flan iv acha tuuu
Mbaya zaid ni mke wa mtu maisha haya
Kumbe
Natamani kushea siri yangu ila sijui wanajamii mtanichukuliaje!
nmecheka sanaDahh hakika kuna watu usiwaambie siri kuna jamaa mmoja anaitwa uncle mecky huyu bwana huwa anajulikana kwa Umbea viunga vya dar kuna siku alimkuta jamaa mmoja anatembea na mke wa Jirani yake, jamaa alivoona vile akamvuta uncle mecky pembeni na kumpa million 1 ili atunze siri, basi uncle mecky akamhakikishia jamaa hatasema. Baada ya week jamaa akasikia uncle mecky anaumwa sana kalazwa hospital akaona akamuangalie basi vile anafika hospital anauliza kwa Dr mgonjwa anaumwa nini akajibiwa ana joto tu Kali lkn kapimwa hana maradhi yyt. Mecky akamuita jamaa ebwana eeeh chukua hii million yako utakuja kuniua maaana nimevumilia huu Umbea nimeshindwa mpk joto limepanda mwilini
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji1787]mimi nna dada yangu nae mfata kuzaliwa hadi leo hua sielewi ni mapepo ama mizimu
akiota kitu kinatokea, ananimbiaga mambo mengi kiasi huwa naogopa hata kuwa nae karibu.
amewahi ota vifo vya ndugu, bahati za watu, mimi kupata/kukosa mishe
hadi leo sijawahi mwambia mtu kama ana uwezo huo zaidi huwa naogopa hata kumuuliza maana hakawii kukwambia kwamba kuna magumu mbeleni
walikua wanafanya nnSiku moja usiku mnene nimekaa nyuma ya nyumba nakula kitu changu, nikasikia kama vishindo nyumba ya jirani nikapanda ukuta nichungulie ile natoa kichwa nikakutana uso kwa uso na Mzee wa ile nyumba akiwa na mwanae wa kiume, mke wake na jamaa wengine wawili wote waliona kuwa niwewaona bangi yote ilikata kichwani nikarudi ndani mbio, hawakuwahi kuniuliza chochote na mimi sikumwambia mtu yeyote yule hadi mwaka jana nilienda nyumbani nikawa naongea na mama stori za mtaani nikajikuta namwambia nilichokiona siku ile ila nikamwambia kuwa makini walijua kuwa nimeona usije kumwambia mtu hii habari!
Nimecheka sana mkuu hasa huu ushuhuda wa pili, huo wa kwanza umeniumiza sana1. Ndugu yangu mmoja nyumba yao ilikuwa jirani sana. Siku moja nikamuona kupitia dirishani akimbaka mtoto wa jirani nyuma ya nyumba. Kitoto kilikuwa darasa la 3 na yeye akiwa 25 hivi. Sikuwahi kumwambia mtu mbaka leo.
2. Shangazi yangu aliyekuwa anakubalika sana kwa kujiheshimu akikaa Dar. Wakati fulani akaja kijijini. Tulikuwa na mpangaji mmoja mabanda ya nyumba alikuwa kitombi balaa. Basi anti nikamtonya. Hamaad siku moja akabaki peke yake nyumbani,niliporudi kutoka shule cha kwanza ilikuwa kupiga chabo mlangoni kwa mpangaji(mlango wa bati). Nikamkuta anti ndo anavaa chupi ametoka kutiwa. Ama kweli usimuamini mtu.
Ni hayo tu kwa uchache
HatariKuna mshkaji wangu alipigika kishenzi akawa weechat ,kumbe kuna mzungu anatafta wanaume wa kuwabandua ilikuwa mwaka 2014/5 kitu kama hicho , sasa jamaa alikuwa kapigika hana hela, katika kuchati weechat akamuona mzungu men, akamwambia nataka nyuma nakupa dollar 200 jamaa hakuchelewa, sasa siku moja nikamuomba simu yake yangu iliisha chaji, katika kupekuwa nikakuta meseji ya makubaliano ya kubanduliwa, nilishangaa sana nikaziangalia tena na tena, baadae kumrudishia simu yake na wala sijawahi kumwambia mtu yeyote yule, hata yeye sikumwambia kama nimejuaa ila nilimshusha value tokea siku hiyo nikahama na chumba nkazuga shangazi kaniita
DaaahHii siri nimekaa na nayo miaka mingi na niliapa kutoisema ila kwa kuwa hatujuani walau leo niiseme maana nimechoka kuintuza... "Mimi vidmate ndo nawekaga maji kwenye Nazi"
ushatoa siri bossMimi ninakipaji ambacho nikiongea na mtu kwa kipindi kifupi tu anamwaga siri zake zote. Tangu nikiwa mdogo mpaka xaxa ukubwani. Huwa sielewi ni nguvu gan iko ndani yangu
alikua ni shoga huyo sema all that time ulishindwa kunotice koz alikua anaficha aibu ioKuna mshkaji wangu alipigika kishenzi akawa weechat ,kumbe kuna mzungu anatafta wanaume wa kuwabandua ilikuwa mwaka 2014/5 kitu kama hicho , sasa jamaa alikuwa kapigika hana hela, katika kuchati weechat akamuona mzungu men, akamwambia nataka nyuma nakupa dollar 200 jamaa hakuchelewa, sasa siku moja nikamuomba simu yake yangu iliisha chaji, katika kupekuwa nikakuta meseji ya makubaliano ya kubanduliwa, nilishangaa sana nikaziangalia tena na tena, baadae kumrudishia simu yake na wala sijawahi kumwambia mtu yeyote yule, hata yeye sikumwambia kama nimejuaa ila nilimshusha value tokea siku hiyo nikahama na chumba nkazuga shangazi kaniita
Nimelia sana ila nimeshindwa kuificha hii siri, mimi ndiye mume wa yule dada anaesema "simu unayopiga haupatikani kwa sasa."Daaah
aiseee
Hata Mimi watu hawajui na kamwe sitowaambia kuwa "Mimi ndiye ninayetoa majibu kwenye calculator"