Kwa wale wamiliki na wazoefu wa magari, ipi bora kati ya VW Polo na VW Golf?

Kwa wale wamiliki na wazoefu wa magari, ipi bora kati ya VW Polo na VW Golf?

Justification ya sh.100 kwa engine ulionunua kwa almost 200k times haimake sense! Tia wese la excellium hata mara moja kisha utaniambia performance unaionaje!

That's right. Mafuta ya Total ukiweka unasense utofauti mkubwa sana kwenye performance ya gari.

Mkuu ubora wa Lake Oil unausemeaje?

-Kaveli-
 
Hivi Lake Oil wana ubora wa bidhaa? Huwa sina imani nao sana.

-Kaveli-
Lake Oil iko freshi sana ni baada ya kuwajaribu mwanzo nilikuwa siwakubali kama wewe hivyo! But jamaa wako vizuri sana na hawana wizi wa kipumbavu kama masheli mengine!

Ukinunua mafuta ya laki Total na ukanunua ya Lake oil for the same price ya Lake Oil yanakupa mileage zaidi! Nimelijaribu hili more than once na nika prove...nikama vile sheli zingine wana ujanja ujanja flani wanafanya kwenye pumps zao.
 
That's right. Mafuta ya Total ukiweka unasense utofauti mkubwa sana kwenye performance ya gari.

Mkuu ubora wa Lake Oil unausemeaje?

-Kaveli-
Lake oil mafuta yao yana kiwango kiukweli sija experience changamoto ila sijajua wanawekaga nini maana yananipa mileage zaidi ya Total! Hivyo nikiwa nasafiri safari ya mkoani nawekaga ya Lake Oil ila nikiwa mjini natumia Total!

Total unaiskia gari nyepesi zaidi yani inachoma fasta nahisi ndio maan yanaisha mapema!
 
Ha ha ha hivi unajua hao ndio wanaleta mzigo wote wa mafuta?!
Na hao ndio watakuwa wanafanya usanii wao vizuri! Nahisi mafuta yao machafu tu kama sheli zao zilivyo ni hisia ila sina imani nao kabisa kiasi kwamba siwezi peleka gari kujaza kwao!
 
Back
Top Bottom