Kaveli
JF-Expert Member
- Dec 4, 2012
- 5,443
- 8,903
Ile kitu ni hatari sanaaa.. tunasubiri miaka miwili mitatu, tuweke hiyo kwa road mkuu
Hizo ndo chuma za kusukuma road kwa mtu wa long trip za mara kwa mara mkuu.
Mie naiwaza sana Golf GTi tu kwanza ili niwanyooshe kina crown na nduguze. π
I like POWER!
-Kaveli-