mng'ato
JF-Expert Member
- Oct 27, 2014
- 29,200
- 49,076
Dar-moro mbali hivyo.Labda Posta-Mwenge tu.La
Labda zikimbizane Dar to Moro
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Dar-moro mbali hivyo.Labda Posta-Mwenge tu.La
Labda zikimbizane Dar to Moro
La
Labda zikimbizane Dar to Moro
Hapo kwa experience yako unaongelea Golf Mk ngapi 4, 5 , 6 ama 7??Chukua VW Golf mkuu iko poa sana, speed, stability barabarani, mziki ndani huhitaji kuongezea maspeaker, spare zisikutishe sana gharama zake unaweza kuzimudu, ukibadili spare leo sahau kuja kuibadili tena, pia sio gari za kwenda garage kila siku.
Haha mkuu naona hujaelewa iyo seriesmk series ndio nini?
Umemaliza kaka kwa muelewa hakuulizi tena kwa ufafanuzi huu.Hakuna tofauti kwenye ubora zote ni sawa sasa inategemea na mahitaji na uwezo wako kwani Golf ni kubwa klk Polo au kwa lugha nyingine golf ni kaka wa Polo ni kama Benz C na E class au BMW 5 na BMW 3, au Audi A4 na Audi A6 au ukipenda ni sawa pia na kuuliza ipi ni bora kati ya Landcruiser VX na Prado, Golf ni kama VX na Polo ni kama Prado kwa ulinganisho sijui kama nimeeleweka vizuri!
Ha ha ha ha ha haNdio,hata ukipiga hesabu za uwiano wa nguvu na uzito.(power to weight ratio)
Land cruiser 1hz:uzito 2000kg
130hp/2000kg=0.065 hp
0.065hp /kg
Tractor(international):uzito 3500kg
560hp/3500kg= 0.160hp/kg
0.160hp/kg.
Umeona hapo land cruiser 1hz ina speed 180km/hour na tractor lina speed 30km/hour.
Lakini inaachwa.
Hoja yangu ilikuwa speed metre sio kigezo cha uwezo wa gari kukimbia zaidi ya nyingine.
Hata hiyo Vw golf yenye 250hp na speed 300km/hour,itaachwa na hilo trekta.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]afu ka Preta ni ka kiume et
Mimi sio mzoefu sana wa teknolojia za magari lakin binafsi nina Golf 5 GTI Original na ni manual transmission.
Hizi ndo sifa nilizozigundua:
1.Ina speed kali sana ukiwa mjinga haikukawizi
2.Ni nzinto na very stable(ukipishana na lori au basi wote mkiwa machafu haufeel chochote ni kama umepishana na Passo)
3.Very confortable unapoiendesha
In short Polo ni bwana mdogo kwa Golf.
Habarini!
Ni hayo tu, kati ya hizi gari mbili, ipi ni bora zaidi kwa wale ambao wameshazitumia au wenye uzoefu nazo.
Naziona ona sana mjini siku hizi.
KAle ka kitu ni hatareee, watu waneza wakawa wanakuona kama umo kwenye IST tu..
Ila mkingia highway landcruiser anatakuwa anapata tu habari KIMESHAPITA......
Experience mkuu, miaka ya nyuma kidogo 2012/14.Mkuu unatumia hiyo chuma ya mjerumani? Una experience nayo?
-Kaveli-
Experience mkuu, miaka ya nyuma kidogo 2012/14.
Experience mkuu, miaka ya nyuma kidogo 2012/14.
Mkuu Kaveli nitavuta Golf R ile machine hiyo Golf GTI hagusi hata apewe nini 😀😀.. GTI nazipa heshima zake lakini
Ile kitu ni hatari sanaaa.. tunasubiri miaka miwili mitatu, tuweke hiyo kwa road mkuuUsukume chuma VW golf R 2.0 L, 288 HP... ni heshima kwa road! Moto mob Kwa lami.
-Kaveli-