Kwa wale wamiliki na wazoefu wa magari, ipi bora kati ya VW Polo na VW Golf?

Kwa wale wamiliki na wazoefu wa magari, ipi bora kati ya VW Polo na VW Golf?

Chukua VW Golf mkuu iko poa sana, speed, stability barabarani, mziki ndani huhitaji kuongezea maspeaker, spare zisikutishe sana gharama zake unaweza kuzimudu, ukibadili spare leo sahau kuja kuibadili tena, pia sio gari za kwenda garage kila siku.
Hapo kwa experience yako unaongelea Golf Mk ngapi 4, 5 , 6 ama 7??
 
Hakuna tofauti kwenye ubora zote ni sawa sasa inategemea na mahitaji na uwezo wako kwani Golf ni kubwa klk Polo au kwa lugha nyingine golf ni kaka wa Polo ni kama Benz C na E class au BMW 5 na BMW 3, au Audi A4 na Audi A6 au ukipenda ni sawa pia na kuuliza ipi ni bora kati ya Landcruiser VX na Prado, Golf ni kama VX na Polo ni kama Prado kwa ulinganisho sijui kama nimeeleweka vizuri!
Umemaliza kaka kwa muelewa hakuulizi tena kwa ufafanuzi huu.
Cjutii kuwa mwanajf najua nami nikitaka kuagiza Car wataalam mpo
 
Alafu naona kama Toyota anafunikwa fulani hivi Tanzania maana VM na Nissan wanaspeed kubwa sana sokoni
 
Ndio,hata ukipiga hesabu za uwiano wa nguvu na uzito.(power to weight ratio)
Land cruiser 1hz:uzito 2000kg

130hp/2000kg=0.065 hp
0.065hp /kg

Tractor(international):uzito 3500kg
560hp/3500kg= 0.160hp/kg

0.160hp/kg.

Umeona hapo land cruiser 1hz ina speed 180km/hour na tractor lina speed 30km/hour.
Lakini inaachwa.

Hoja yangu ilikuwa speed metre sio kigezo cha uwezo wa gari kukimbia zaidi ya nyingine.

Hata hiyo Vw golf yenye 250hp na speed 300km/hour,itaachwa na hilo trekta.
Ha ha ha ha ha ha
[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]
 
Mimi sio mzoefu sana wa teknolojia za magari lakin binafsi nina Golf 5 GTI Original na ni manual transmission.
Hizi ndo sifa nilizozigundua:
1.Ina speed kali sana ukiwa mjinga haikukawizi
2.Ni nzinto na very stable(ukipishana na lori au basi wote mkiwa machafu haufeel chochote ni kama umepishana na Passo)
3.Very confortable unapoiendesha
In short Polo ni bwana mdogo kwa Golf.

Mkuu upendodaima , bado unatumia hii chuma VW Golf 5 GTI?

-Kaveli-
 
KAle ka kitu ni hatareee, watu waneza wakawa wanakuona kama umo kwenye IST tu..
Ila mkingia highway landcruiser anatakuwa anapata tu habari KIMESHAPITA......

Mkuu unatumia hiyo chuma ya mjerumani? Una experience nayo?

-Kaveli-
 
Experience mkuu, miaka ya nyuma kidogo 2012/14.
Experience mkuu, miaka ya nyuma kidogo 2012/14.

Mkuu, tunaomba uzoefu wako ili watu wajifunze kuhusu hiyo chuma.

Wengi wanaziogopa sana VW sababu ya ughali wa spea, mafundi hakuna, haina reliability, sio fuel economy, n.k.

Kwako ilikuwaje? Kwanini uliachana nayo hiyo VW golf?

-Kaveli-
 
Back
Top Bottom