Kwa wale wamiliki na wazoefu wa magari, ipi bora kati ya VW Polo na VW Golf?

Kwa wale wamiliki na wazoefu wa magari, ipi bora kati ya VW Polo na VW Golf?

Habarini!
Ni hayo tu, kati ya hizi gari mbili, ipi ni bora zaidi kwa wale ambao wameshazitumia au wenye uzoefu nazo.
Naziona ona sana mjini siku hizi.
Kwenye VW Cars VW Polo ndio gari yao ya pili kutoka mwisho kwa udogo wa body na engine...yaani kama useme Vitz,Passo kwa Toyota
Tuanze kubwa kabisa mpaka ndogo
VW Touareg
VW Tiguan
VW Touran
VW Golf/Jetta/Bora
VW Polo
VW Lupo
Golf na Polo ni kama RunX na Passo/Vitz
 
Chukua VW Golf mkuu iko poa sana, speed, stability barabarani, mziki ndani huhitaji kuongezea maspeaker, spare zisikutishe sana gharama zake unaweza kuzimudu, ukibadili spare leo sahau kuja kuibadili tena, pia sio gari za kwenda garage kila siku.
 
Back
Top Bottom