Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Chukua TouranHabarini!
Ni hayo tu, kati ya hizi gari mbili, ipi ni bora zaidi kwa wale ambao wameshazitumia au wenye uzoefu nazo.
Naziona ona sana mjini siku hizi.
PRONDO:
Yutong lina ujazo wa engine (cc)10,520 / 10.5 litre
Horsepower 375hp
VW golf R32 lina ujazo wa engine (CC)3,200 / 3.2 litre
Horsepower 250hp
Yakifukuzana jibu litakuwa rahisi tu,Vw itaachwa.
Kwa sababu Yutong lina horsepower kubwa.
mfano mwingine hapa nina tractor natumia aina ya International model 912 la mwaka 1989.Ni V8 twin cam,lina horsepower 560hp.
Huwa nafukuzana na land cruiser 1hz mkonge yakija huku kwenye miradi hadi huwa wanashangaa.
Kwa hiyo kasi ya mashine yoyote hupimwa kwa horsepower au watts.
Usinipotezee muda wewe. Ndio maana nilikuuliza swali kimtego unajua umuhimu wa weight/power ratio?PRONDO:
Yutong lina ujazo wa engine (cc)10,520 / 10.5 litre
Horsepower 375hp
VW golf R32 lina ujazo wa engine (CC)3,200 / 3.2 litre
Horsepower 250hp
Yakifukuzana jibu litakuwa rahisi tu,Vw itaachwa.
Kwa sababu Yutong lina horsepower kubwa.
mfano mwingine hapa nina tractor natumia aina ya International model 912 la mwaka 1989.Ni V8 twin cam,lina horsepower 560hp.
Huwa nafukuzana na land cruiser 1hz mkonge yakija huku kwenye miradi hadi huwa wanashangaa.
Kwa hiyo kasi ya mashine yoyote hupimwa kwa horsepower au watts.
Asante kwa kumuelewesha maana nimemwambia anajua umuhimu au maana ya weight/power ratio?Kuna jambo unasahau, kwenye hisabati kuna kitu kinaitwa Uwiano, wkt umeongelea ukubwa wa nguvu ya Farasi wa Yutong kulinganisha na Golf, umesahau uwiano wa ukubwa wa injini na uzito gari, hivyo ni vitu muhimu siyo kulinganisha Tu namba ni lazima uwe na uwiano, Je Yutong ina uzito wa Tani ngapi ukilinganisha ukubwa wa injini yake? Vivyo hivyo Golf kwani mwisho wa siku ndivyo pmj na vingine vinavyoamua!
Halafu kuna mambo mengine kama muundo wa gari yaani nguvu ya upepo inaathiri mwendo wa gari, hivyo gari lenye eneo kubwa au Uso mpana huathiriwa zaidi na nguvu ya upepo klk gari yeye uso mdogo na mwembamba, hivyo kuna mambo mengi yanayochangia mwendo kasi wa gari!
Umesahau VW Atlas--ndo kubwa zaidiKwenye VW Cars VW Polo ndio gari yao ya pili kutoka mwisho kwa udogo wa body na engine...yaani kama useme Vitz,Passo kwa Toyota
Tuanze kubwa kabisa mpaka ndogo
VW Touareg
VW Tiguan
VW Touran
VW Golf/Jetta/Bora
VW Polo
VW Lupo
Golf na Polo ni kama RunX na Passo/Vitz
Ishaingia mtaani? VW nao wana models nyingi kama Toyota hapo nimeacha nyingi sanaUmesahau VW Atlas--ndo kubwa zaidi
Mkuu ipo mtaani at least kwa huku nilipo lakini ishaingia. Na Tourage discontinued.Ishaingia mtaani? VW nao wana models nyingi kama Toyota hapo nimeacha nyingi sana
Ni kweli tupu. Na ndiyo maana pamoja na hiyo Horsepower ya Yutong kuwa kubwa kuliko Toureg,lakini kwa kuzingatia uzito,ndiyo maana VW Toureg ina maximum speed 260kph wakati Yutong ni 160-180kph. Kwa hiyo Yutong litaachwa na TouregUsinipotezee muda wewe. Ndio maana nilikuuliza swali kimtego unajua umuhimu wa weight/power ratio?
Yutong kwa maekezo yako ina hp350 inabeba mzigo kiasi gani jumlisha na uzito wake.
Vw hp250 inabeba uzito gani jumlisha uzito wake. Power peke yake haifanyi gari kuwa faster kuna vitu vingine inabidi uzingatie.
Nakupa mfano rahisi honda cc750 inakimbia kuliko gari ya cc3000 unajua kwanini? Ni kwadababu hio gari ina uzito tani mbili wakati pikipiki ina kg200 +/-
Nilikumiss sanaIla ka Golf kanakimbia..........
Nilikumiss sana
Kwahio tractor inamzidi cruiser kwa mbio?PRONDO:
Yutong lina ujazo wa engine (cc)10,520 / 10.5 litre
Horsepower 375hp
VW golf R32 lina ujazo wa engine (CC)3,200 / 3.2 litre
Horsepower 250hp
Yakifukuzana jibu litakuwa rahisi tu,Vw itaachwa.
Kwa sababu Yutong lina horsepower kubwa.
mfano mwingine hapa nina tractor natumia aina ya International model 912 la mwaka 1989.Ni V8 twin cam,lina horsepower 560hp.
Huwa nafukuzana na land cruiser 1hz mkonge yakija huku kwenye miradi hadi huwa wanashangaa.
Kwa hiyo kasi ya mashine yoyote hupimwa kwa horsepower au watts.
Habarini!
Ni hayo tu, kati ya hizi gari mbili, ipi ni bora zaidi kwa wale ambao wameshazitumia au wenye uzoefu nazo.
Naziona ona sana mjini siku hizi.
Mkuu Spare sio ishu ya kuogopa sana siku hz na teknolojia yote hii,wenzetu wa Kongo na Zambia wanaingiza sana hzo vitu kupitia bandari yetu sema tu wabongo tumerogwa na Japanese cars.Spare parts zake upatikanaji ukoje hapa Dar??
Kwahio tractor inamzidi cruiser kwa mbio?
Labda zikimbizane Dar to MoroNdio,hata ukipiga hesabu za uwiano wa nguvu na uzito.(power to weight ratio)
Land cruiser 1hz:uzito 2000kg
130hp/2000kg=0.065 hp
0.065hp /kg
Tractor(international):uzito 3500kg
560hp/3500kg= 0.160hp/kg
0.160hp/kg.
Umeona hapo land cruiser 1hz ina speed 180km/hour na tractor lina speed 30km/hour.
Lakini inaachwa.
Hoja yangu ilikuwa speed metre sio kigezo cha uwezo wa gari kukimbia zaidi ya nyingine.
Hata hiyo Vw golf yenye 250hp na speed 300km/hour,itaachwa na hilo trekta.