Kwa wale wamiliki na wazoefu wa magari, ipi bora kati ya VW Polo na VW Golf?

Bado ipo inatoa vichapo tu highway.....πŸ˜€πŸ˜€

Golf kwa mtu asiyeifahamu akiiona muonekano wake atasema kigari cha kitoto. Kumbe kikiingia road hadi mababu wanaamkia.

Service ya kumwaga oil ni sh ngapi? Shock up zake ni sh ngapi?

Raia kitaa tunatishana sana kuhusu expensiveness ya kumiliki hiyo ndinga. Tunaziogopa mno japo tunazitamani sana! Tunabaki na hasira ila nguvu hatuna.

-Kaveli-
 
Raia wanaona hiki kiberiti vipi ila shughuli yake wanakukuta mbele inabidi waulize kuna engine gani humu?
 
Nadhani hiyo version Golf R itakuwa bado ni ghali sana!

Holy Man , kasema hiyo chuma ameshaiweka kwenye plan within two years to come anaimenya.

Hivi mkuu, VW golf yako bado unayo? I know now una crown.

-Kaveli-
Miaka miwili mbeleni tutakuwa nalo, tuyaache ache kwanza yapoe kabisaaa πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€ tusii tafutie TRA lawama
 
Golf kwa mtu asiyeifahamu akiiona muonekano wake atasema kigari cha kitoto. Kumbe kikiingia road hadi mababu wanaamkia.

Service ya kumwaga oil ni sh ngapi? Shock up zake ni sh ngapi?

Raia kitaa tunatishana sana kuhusu expensiveness ya kumiliki hiyo ndinga. Tunaziogopa mno japo tunazitamani sana! Tunabaki na hasira ila nguvu hatuna.

-Kaveli-
Service huwezi amini kama Crown tu iwapo umeamua kutumia parts genuine. Oil natumia 5w40 5L 100,000 oil filter 30,000. Hapo 130,000 nimemwaga oil.
Crown oil natumia hio hio 5w40 6L 120,000 oil filter 25,000 mpaka hapo 145,000 Crown iko juu kwa 25,000 zaidi.
 
Bank account inasoma six digits annually, afu unamiliki VW golf supana mkononi! Mwenye wake watatu anasubiri.

-Kaveli-
πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€ Heshima ya barabarani muhimu mkuu
 
Raia wanaona hiki kiberiti vipi ila shughuli yake wanakukuta mbele inabidi waulize kuna engine gani humu?

Hizi chuma suala la fuel sensitivity nadhani ni issue.

Mtu aliyeko mkoani kwenye sheli za Mafuta low quality ni lazima ife mapema.

Kuna sehemu nishawahi kufika kukuta sheli zote ni brand tatanishi... moja inaitwa "NDONO petrol station".

Nikauliza wenyeji... "Kuna sheli ya Total au Puma au Lake Oil maeneo haya?"

Jamaa wakanijibu kwa swali: "mmh TOTALI ndo mafuta ya kwenye nini hayo kaka"?

Nikatia cha 'uwani' nikageuza mkebe then nikateleza.

-Kaveli-
 
Back
Top Bottom