kwa wale wanao potosha watu kuhusu mishahara ya walimu soma hapa!!

kwa wale wanao potosha watu kuhusu mishahara ya walimu soma hapa!!

LOOOK

JF-Expert Member
Joined
May 17, 2011
Posts
3,389
Reaction score
674
madai ya walimu.jpgwatu wamejitahidi sana kudanganya wenzao wakati swala halipo ivo.
 
tangazo hilo lilitoka kabla ya mei mosi. njoo na taarifa baada ya bajeti ya serikali kwa mwaka mpya wa fedha.
 
mmh hii nayo kali...yetu macho.embu wekeni hapa walaka wa mishahara kwa mwaka 2013
 
Sasa mbona tayari walimu wanao huo waraka
unaowapandisha madaraja mawili zaidi na
mabadiliko ya mishahara.

Wengi wa Walimu wanafuraha sana,huu waraka
uliotuwekea hapa uko vema sasa ndiyo kusema
Walimu hizi taarifa zilizopo kwenye Wilaya
zote ni uzushi?

Itabidi aliyesambaza waraka atafutwe.
 
Hili tangazo liliwekwa hapa JF tangu april! Lilisomwa na kujadiliwa hapa! Inawezekana hukubahatika kuliona,cha msingi waraka mpya wa mshahara unaosemwa umesambazwa kwenye halmashauri uwekwe hapa tuusome! Tusiweke post zisizothibitika!
 
tangazo hili la zamani sana wakati waraka umetoka hivi karibuni
 
Huo waraka mpya uwekwe bas tuuone, mnatupa presha wahitimu wa vyuo vya ualimu,,,
 
We have folish government watoto wataendelea kufeli tu. Hata hivyo tatizo ni walimu wenyewe eti mwl anapigania kusimamia sensa badala ya maslahi ,dah kazi ipo
 
Huo waraka mpya uwekwe bas tuuone, mnatupa presha wahitimu wa vyuo vya ualimu,,,
unafikiria mshahara hata kazi haujaanza acha hizo ninyi ni wale wale ambao mnafundisha vipindi vitano kwa wiki,katika masaa manane ya kazi kwa siku unafanya mawili alafu ulipwe 800,000.Shame of you mwalimu of this kind
 
Uyu alieposti taarifa hii nadhani ndo walewale vibaraka wa ccm, pumbavu zake
 
Back
Top Bottom