Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
View attachment 99759watu wamejitahidi sana kudanganya wenzao wakati swala halipo ivo.
Mbona hakuna tarehe kwenye hilo tangazo?!!
Mbona hakuna tarehe kwenye hilo tangazo?!!
Huo waraka mpya uwekwe bas tuuone, mnatupa presha wahitimu wa vyuo vya ualimu,,,
unafikiria mshahara hata kazi haujaanza acha hizo ninyi ni wale wale ambao mnafundisha vipindi vitano kwa wiki,katika masaa manane ya kazi kwa siku unafanya mawili alafu ulipwe 800,000.Shame of you mwalimu of this kindHuo waraka mpya uwekwe bas tuuone, mnatupa presha wahitimu wa vyuo vya ualimu,,,