Kwa wale wanaolalamika kupanda kwa gharama za vifurushi vya internet hii ndio mitandao ya kuhamia kwa sasa

Telecom kama Telecom mali ya Billionea Dr.Strive Masiyiwa [emoji846]
 
Mbona ipo mkuu me nilisajili tokea mwaka 2019 na nilisajili kwa sababu ya kudownload games kwenye pc maana kuna kifueushi nilikua napata GB 10 kwa buku ila ni cha usiku

Code please
 

[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 

Upo nchi gani mzee?
 
Umesomeka mi ndio natumia iko poa kulingana na hali ya sasa
 
Labda matumizi yako ni makubwa. Unaingia YouTube, Instagram, Tiktok[emoji23]?
Ni mlevi wa Jf na Twitter basi na kufungua video sio sana yaani itokee tu kuna mtu amembia aina yangu ya simu inatumia mb nyingi mwe mwe ajabu😳
 
Nchi inabadilika kwa speed Kali Sana.
mkomaetu hamna namna
 
Chukua bando kubwa halafu linaenda kwa speed ya kunyata,ngoja kwanza nitafakari...
 
Bando za usiku mtu usilale kisa bando daa labda kama mie Watchmen
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…