Kanungila Karim
JF-Expert Member
- Apr 29, 2016
- 20,743
- 25,564
Airtel wametoa kifurushi cha usiku Daaah
Tulia dawa iwaingie
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Airtel wametoa kifurushi cha usiku Daaah
Wazee wa IT Mliopo humu.
Is it possible raia wa kawaida tu aka hack mitandao let's say tiGO na kumuunganishia mtu GB kibao kwa Bei poa?
Kuna hacker kanipa ofa ya 10 Gb kwa wiki kwa elfu tatu. Sharti lake kuu nimtumie pesa ndio aniunganishe.
I am asking for a foreign friend.
Kuna jambo umesahau kulieleza kuhusu bando za Halotel:Hahahahah hao Halotel si wehu tu! Hapo tarajia kipigo mda wowote! Zantel bado wapo juu
Kuna jambo umesahau kulieleza kuhusu bando za Halotel:
Ni kwamba, ukitumia na muda wa ku expire ukafika na bando bado lipo, halichachi bali hu'cease' tu na ukiunga hilo jipya, la zamani husisimka na linaunganishwa na maisha yanasonga.
Ndiyo ninachowapendea, hawakulazimishi matumizi kwa kuhofia ku expire.
kupata vifurushi vyao unatumia code gani, nisaidie please. nataka dakika na MBKuna jambo umesahau kulieleza kuhusu bando za Halotel:
Ni kwamba, ukitumia na muda wa ku expire ukafika na bando bado lipo, halichachi bali hu'cease' tu na ukiunga hilo jipya, la zamani husisimka na linaunganishwa na maisha yanasonga.
Ndiyo ninachowapendea, hawakulazimishi matumizi kwa kuhofia ku expire.
*150*88# kisha #3 utachagua MEGA BUNDLEkupata vifurushi vyao unatumia code gani, nisaidie please. nataka dakika na MB
Kawaida ni *148*66# ok itafuata menu.kupata vifurushi vyao unatumia code gani, nisaidie please. nataka dakika na MB
Hii ni sawa angalia na kipato chetu kipo juu zaidi yao???Mtu mmoja katuambia tz Ni ktk nchi ambazo vifurushi vipo chini kuliko marekani
Kuna jambo umesahau kulieleza kuhusu bando za Halotel:
Ni kwamba, ukitumia na muda wa ku expire ukafika na bando bado lipo, halichachi bali hu'cease' tu na ukiunga hilo jipya, la zamani husisimka na linaunganishwa na maisha yanasonga.
Ndiyo ninachowapendea, hawakulazimishi matumizi kwa kuhofia ku expire.
TtclLeo tutumie mtandao upi
Njoo na mkeka mpya sasaHabari ya wikiendi wana JF wenzangu.
Jana baada ya kutoka mishemishe jioni si nikasema ngoja nitumbukie vocha nichungulie kinachoendelea mitamdaoni.
Nikapita dukani nikanunua Zantel ya 500 dhumuni nijiunge cha chuo ambacho ni MB 500 kwa siku 7 maana sina matumizi mengi ya data.
Ile kupiga *148*05# nakuta kuna MB 250 pozi likaniishia nikajisemea ngoja nichungulie kwenye mitandao mingine kupoje. Eni wei ifuatayo ni mitandao ambayo ina vifurushi pengine ni nafuu kwa mteja
1. HALOTEL
Hawa jamaa ili upate MB za maana unatakiwa uweke salio kwenye Halopesa kisha piga *150*88# kisha chagua namba 3 utachagua Mega Bando
Tsh 1000 = GB 1 kwa siku 7
Tsh 3000 = GB 3 kwa siku 7
Tsh 500 = GB 1 saa 6 usiku mpaka 12 asubuhi
2. TTCL
Wana bando lao linajulikana kama BANDO TAMTAM sharti uwe na salio kwenye T PESA yako
Tsh 1000= Dk 10, SMS 50 na GB 1.2 kwa siku 5
VIpo vipo vingine ni
Tsh 500= 300 MB
3. VODACOM
Wazee wamepunguza bando mpaka basi yaani hata zile ofa za DAR SUPA UNI wamezibadilisha kabisa.
4. TIGO
Hawa sijui huko hali yako ipoje?
Kw wale mnaojiungaga na SAIZI YAKO najua mnafahamu kilichobadilishwa huko.
5. ZANTEL
Hawa ni Tigo waliochamgamka. Walikuwa na vifurushi vizuri mno, walipigiwa sana chapuo na bwana Extrovert mpaka ikanipelekea kusajili laini yao.
Lakini walichokifanya ni balaa.
6. AIRTEL
Hawa jamaa hata ukipiga *149*81# wamebadilisha kila kitu, hata kile kifurushi chao cha USIKU kuanzia saa 6 hadi 12 asubuhi ni mazingaombwe tu.
Weew vuta picha yaani ukae mpaka saa 6 usiku kwa ajili ya kujiunga MB 375 just imagine!
Mwisho kabisa nawashauri mrudi HALOTEL tu maana hakuna mambo mengi kule MB kama zote.
Kwa hiyo unamaanisha Zantel wapo expensive?Hahahahah hao Halotel si wehu tu! Hapo tarajia kipigo mda wowote! Zantel bado wapo juu
Wako njema yani hamna ujinga ujingaKwa hiyo unamaanisha Zantel wapo expensive?
Wamepunguza skuizi mitandao yote bando zao zipo sawaKwani mi natumia halotel ya Kenya au mbona wananiambia 1000 ni 490MB Kwa siku Saba iyo 1GB ipo wap