Kwa wale wanaolalamika kupanda kwa gharama za vifurushi vya internet hii ndio mitandao ya kuhamia kwa sasa


Unaenda kupigwa shauri yako
 
Hahahahah hao Halotel si wehu tu! Hapo tarajia kipigo mda wowote! Zantel bado wapo juu
Kuna jambo umesahau kulieleza kuhusu bando za Halotel:

Ni kwamba, ukitumia na muda wa ku expire ukafika na bando bado lipo, halichachi bali hu'cease' tu na ukiunga hilo jipya, la zamani husisimka na linaunganishwa na maisha yanasonga.

Ndiyo ninachowapendea, hawakulazimishi matumizi kwa kuhofia ku expire.
 

True
 
kupata vifurushi vyao unatumia code gani, nisaidie please. nataka dakika na MB
 
kupata vifurushi vyao unatumia code gani, nisaidie please. nataka dakika na MB
Kawaida ni *148*66# ok itafuata menu.
HT chuo ni *148*55# ok itafuata menu.
Ama Halo pesa*150*88# nenda3, kisha2 Mega bundle.
 
Sijiungi kifurushi chochote bila kukagua kwanza ninachokitaka Kipo au Hakipo...
 
Hii kitu wameiondoaa aiseee ilikuwa inasaidia sana.
 
Njoo na mkeka mpya sasa
 
Ttcl kumechafukwa GB.1 buree.2500
 
Mkuu, mimi ni mtumiaji mzuri tu wa TTCL, lakini kwa uchafu uliouandika hapo, ningekuwa karibu yako ningekunasa makofi😡
 
WADAU UKIWA NA TIGO UNAWEZA USIZIME DATA KWA HIZI BANDO ZENYE UNAFUU MNOO‼️
15G=15000/=, 35GB=30000/=, 48GB=40000/= 72GB=60000/= NA 120GB=100000/=
Bando hizi utakua unazipata kwa miaka miwili mfululizo kila tarehe moja unaingiziwa, KUJIUNGA HUMTUMII MTU YEYOTE HELA,

nakupa maelekezo buree unalipia moja kwa moja tigo kama unavyojiunga vifurush vingine. Huduma hii ni uhakika nikikupa maelekezo unaweza hata kupiga 100 ukaulizia na ukalinganisha maelekezo yangu na ya customer care.
( Airtel pia naunga Huduma ya SME itakayokupa GB kibao kwa gharama kidogo)

Soma maelekezo hapo chini au nicheki 0717700921

JINSI YA KUJIUNGA
Piga *150*01#
➡️Kisha chagua no4
➡️Kisha chagua no 2 (kupata majina)
➡️Kisha chagua no 6 (tigo business)
➡️Kisha chagua no 2 (security deposit)
➡️Kisha chagua no1
➡️Kisha kumbukumbu no weka no yako ya tigo
➡️Kisha weka kiasi kulingana na kifurushi unachotaka kama ilivyo kwenye chat( angalia chat kwenye dp yangu )
➡️Kisha weka no ya siri kudhibitisha!

Ukikamilisha nifahamishe !
 
Kwani mi natumia halotel ya Kenya au mbona wananiambia 1000 ni 490MB Kwa siku Saba iyo 1GB ipo wap
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…