Kwa wale wanaolalamika kupanda kwa gharama za vifurushi vya internet hii ndio mitandao ya kuhamia kwa sasa

Zilipendwa. Tumia VPN
 
Mwisho kabisa nawashauri mrudi HALOTEL tu maana hakuna mambo mengi kule MB kama zote.
Sasa hivi nadhani lao moja!!! Ni Kama Sasa hivi wanamilikiwa na mtu mmoja bei hazitofautiani! Nadhani hii ni kosa katika masuala yasheria za Biashara!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…