N muda muafaka kwa Vijana wa kitanzania kushikana na kuinuana kiuchumi pamoja na kifikra. Gossip hazilete positive impact ndani ya Jamii yetu. Karibu sana #LunatocNyuzi za maana Kama hizi huoni mwitikio ila ingekuwa mada za Diamond azamisha uume wake mtaroni , comments zingemiminika
Mwitikio utoke wapi wakati mtu hana cash ya kununua gariNyuzi za maana Kama hizi huoni mwitikio ila ingekuwa mada za Diamond azamisha uume wake mtaroni , comments zingemiminika
Umeona eehhhhNyuzi za maana Kama hizi huoni mwitikio ila ingekuwa mada za Diamond azamisha uume wake mtaroni , comments zingemiminika
Naomba kujua ni gari gani ndogo yenye injini (isizidi 200cc)ya Diesel ambayo ni nzur sana tena iwe na Comfortability, stability na durability nzur.Mimi mtaalamu wa Diesel Engine za magar, Generator, Air compressor na Earth moving Mashine. Kama unatatizo lolote kwenye Engine yko njoo hapa nkupe Solution.
Pia nnafunga na kufanya Engine Over haul kwa umakini mkubwa sana with Affordable prices.
Nnapatikana Tabata Dar es salaam, Lakn nnafika popote ulipo kufanya kazi.
Mwisho kama unaitaji Generator na Air compressor za ukubwa wowote wasiluana na mimi direct kwa namba 0693 296 809 au 0713302846.
Una ujuzi wa miaka mingapi. Weka picha na videos basi.Mimi mtaalamu wa Diesel Engine za magar, Generator, Air compressor na Earth moving Mashine. Kama unatatizo lolote kwenye Engine yko njoo hapa nkupe Solution.
Pia nnafunga na kufanya Engine Over haul kwa umakini mkubwa sana with Affordable prices.
Nnapatikana Tabata Dar es salaam, Lakn nnafika popote ulipo kufanya kazi.
Mwisho kama unaitaji Generator na Air compressor za ukubwa wowote wasiluana na mimi direct kwa namba 0693 296 809 au 0713302846.
Cc 200?Naomba kujua ni gari gani ndogo yenye injini (isizidi 200cc)ya Diesel ambayo ni nzur sana tena iwe na Comfortability, stability na durability nzur.
Iwe ipo juu inayoweza kuhimili rough road..