Kwa wale wanaolamika kuhusu Diesel Engine. Uliza chochote nkupe jibu

presider

JF-Expert Member
Joined
Feb 26, 2013
Posts
1,320
Reaction score
1,738
Mimi mtaalamu wa Diesel Engine za magar, Generator, Air compressor na Earth moving Mashine. Kama unatatizo lolote kwenye Engine yko njoo hapa nkupe Solution.
Pia nnafunga na kufanya Engine Over haul kwa umakini mkubwa sana with Affordable prices.
Nnapatikana Tabata Dar es salaam, Lakn nnafika popote ulipo kufanya kazi.
Mwisho kama unaitaji Generator na Air compressor za ukubwa wowote wasiluana na mimi direct kwa namba 0693 296 809 au 0713302846.
 
Nyuzi za maana Kama hizi huoni mwitikio ila ingekuwa mada za Diamond azamisha uume wake mtaroni , comments zingemiminika
 
N muda muafaka kwa Vijana wa kitanzania kushikana na kuinuana kiuchumi pamoja na kifikra. Gossip hazilete positive impact ndani ya Jamii yetu. Karibu sana #Lunatoc
 
Mimi mtaalamu wa Diesel Engine za magar, Generator, Air compressor na Earth moving Mashine. Kama unatatizo lolote kwenye Engine yko njoo hapa nkupe Solution.
Pia nnafunga na kufanya Engine Over haul kwa umakini mkubwa sana with Affordable prices.
Nnapatikana Tabata Dar es salaam, Lakn nnafika popote ulipo kufanya kazi.
Mwisho kama unaitaji Generator na Air compressor za ukubwa wowote wasiluana na mimi direct kwa namba 0693 296 809 au 0713302846.
Naomba kujua ni gari gani ndogo yenye injini (isizidi 200cc)ya Diesel ambayo ni nzur sana tena iwe na Comfortability, stability na durability nzur.
Iwe ipo juu inayoweza kuhimili rough road..
 
Mimi mtaalamu wa Diesel Engine za magar, Generator, Air compressor na Earth moving Mashine. Kama unatatizo lolote kwenye Engine yko njoo hapa nkupe Solution.
Pia nnafunga na kufanya Engine Over haul kwa umakini mkubwa sana with Affordable prices.
Nnapatikana Tabata Dar es salaam, Lakn nnafika popote ulipo kufanya kazi.
Mwisho kama unaitaji Generator na Air compressor za ukubwa wowote wasiluana na mimi direct kwa namba 0693 296 809 au 0713302846.
Una ujuzi wa miaka mingapi. Weka picha na videos basi.
 
Me n Mechanical Engineer. Nna udoefu wa miska 15 upande wa Air compressor, Generator, Heavy duty trucks and Earth moving Machine
 
Back
Top Bottom