Kwa wale wanaopenda kufanya mapenzi kwa njia zisizo rasmi pitia hapa

Nope ni hasara hasa kwa taifa lenye mambumbumbu wengi wa mitandao kama hapa Tanzania.wakati wenzetu wanaanzisha groups za kuchangiana mawazo ya kimaendeleo na kupeana idea za kufanya maendeleo huku unakuta na magrup ya sijui fanya ngono kavu/fanya kinyume na blah blah blah{hapa nimepunguza ukali wa maneno humo jaza maneno yote machafu uyajuayo}

Na hata ukisema uanzishe wewe group la kuzungumzia mambo ya maana,wale utakaowa-add inatokea siku tu unakuta wametuma mipicha ya ajabu ajabu wanayajadili tena siku yenyewe jumatatu asubuhi.kuna watu wa kusema mitandao ina faida kwao sio Tanzania.
 
haaahhaaa cancer yakoo achana nayo mkuu ..ukiwa na cancer ikishasambaa sana mwili waweza katwa kiungo kama mguu au mkono so ukiwa na cancer yakoo utakatwa wapi shingo au ??
sitaki kunyonya tena chiu
Kwani ukigongwa na nyoka kichwani utafungwa kamba ya wapi ili kuzuia sumu isisambae mwilini?[emoji13] [emoji13] nyonya chiu tu kifo kipo, hizo cancer sababu tu[emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji377] [emoji377] [emoji377] [emoji124] [emoji125] [emoji125]
 
hahaaaa kama kifo kipo tu na cancer ni sababu..huwa tunaweka zebra bara barani kwa sabbu zipi !!? kwanini tusivuke tu hvyo hvyo ..na kwanini zinapojitikeza ajali tunaanza kulalamika kuhusu mwendo kasi wa madereva wa magari husika. acha hizo basiiii hahaaa kinga ni bora kuliko tiba
 
Kama zebra zipo mbona watu wanavuka pasipo na zebra? Au ukiiona gari inakuja nawewe tia mguu wako kwenye zebta uvuke uone kitakachokupata. Labda ungesema hivi "kama kifo kipo mbona barabarani kumewekwa traffic light hapo kidogo ningkuelewa. Ngoja nimalizie kwanza[emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji377] [emoji377] [emoji377] [emoji124] [emoji125] [emoji125]
 
hahaa umenielewa sema wajitoa ufahamu ...hata hvyo hiki ulichokisema hakiwezi kufuta mantik yakile nilichokiongea...

umalizie kunyonya sindio
 
indeed ...
 
Aisee!
 
Endeleeni kujitia mabingwa wa kuzibua mitaro ila nilisikia mwisho wa mwanaume mla tigo ni yeye kuliwa tigo yake.
 
Muhimu kujua vitu kupitia kwa wahusika walopitia hayo mambo na sio kujaribu kufanya laana hii.
 

Mkuu I salute you.
 
Sasa akizoea si kuna tepeta na kwenyewe jamani?
 
`Dah mkuu unavyoongea kwa kujiamini
 
Sasa hii research ni ya namna gani? Mbona maswali yako ni kama mipasho badala ya kupata ukweli?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…