Sir_Mimi
JF-Expert Member
- Jun 21, 2013
- 7,171
- 15,760
Nope ni hasara hasa kwa taifa lenye mambumbumbu wengi wa mitandao kama hapa Tanzania.wakati wenzetu wanaanzisha groups za kuchangiana mawazo ya kimaendeleo na kupeana idea za kufanya maendeleo huku unakuta na magrup ya sijui fanya ngono kavu/fanya kinyume na blah blah blah{hapa nimepunguza ukali wa maneno humo jaza maneno yote machafu uyajuayo}
Na hata ukisema uanzishe wewe group la kuzungumzia mambo ya maana,wale utakaowa-add inatokea siku tu unakuta wametuma mipicha ya ajabu ajabu wanayajadili tena siku yenyewe jumatatu asubuhi.kuna watu wa kusema mitandao ina faida kwao sio Tanzania.