Mimi nilifunga spika ndogo na tweeter kwa 150,000, naenjoy mziki mzuri wa kistaarabuMziki wa bei rahisi ambao unakua na option ya USB shillingi ngapi? Napendelea mziki wa kawaida sio ule wa sauti ya juu.
Gari ni Suzuki Swift na Mitsubishi Double Cabin.
Naomba bei kwa Arusha tafadhali
Hiyo wapi mkuu, kwa huyo Dicksound?Mimi nilifunga spika ndogo na tweeter kwa 150,000, naenjoy mziki mzuri wa kistaarabu
Hahahaha et muziki wa dumu *****.mziki wa dumu la deochestra with inbuilt amplifier unatosha ukiongeza na tweeter,
Baada ya muanzisha uzi kukimbia naona wadau wakakimbia. Wapenda mziki tupo wengiHii mada haina wadau ama humu jf mi pekeangu ndio mpenda mziki tu
Naskiliza old school hapa the Luniz-5 On It inakita vibaya sana kwenye woofer, nawaza itakuwaje siku huu mziki ukiwa unatokea kwenye SUV yangu moja matata huku imekula Dubs za maana! American Style!!! Asee mungu anijalie uhai tu maana pesa naimani zintafutwa tu hadi zijaeBaada ya muanzisha uzi kukimbia naona wadau wakakimbia. Wapenda mziki tupo wengi
Ukitaka kuuza toa mziki. HahaNaskiliza old school hapa the Luniz-5 On It inakita vibaya sana kwenye woofer, nawaza itakuwaje siku huu mziki ukiwa unatokea kwenye SUV yangu moja matata huku imekula Dubs za maana! American Style!!! Asee mungu anijalie uhai tu maana pesa naimani zintafutwa tu hadi zijae
Hahaha inaongezaga value katika gariUkitaka kuuza toa mziki. Haha
Kuna jamaa yangu moja nimuite lofa kwanza: aliazima gari baadae akaniambia eti tubadilishane mziki, jibu nililompa nadhani anajua mwenyewe uzito wakeHahaha inaongezaga value katika gari
Yani atoe mziki wako aweke kwake ama alimaanisha nini huyo bwana lofaKuna jamaa yangu moja nimuite lofa kwanza: aliazima gari baadae akaniambia eti tubadilishane mziki, jibu nililompa nadhani anajua mwenyewe uzito wake
Hata taarifa za habari huwa husikilizi.?!Ninavyochukia kelele. Nadhani hata redio kwenye gari haijawahi kuwashwa.
Umejaribu ngoma za kabila lenu? Maana huo nao muzikimimi sijui ujana au uzee,hata sijielewi nipo kundi gani maana hakuna mziki naopenda iwe wa hapa au wa nje sina mwanamuziki hata mmoja nampenda duniani,hebu niambie wajuzi na mimi ntakuwa na tatizo gani?
ndio, atoe wangu aweke kwake alafu wake aweke kwangu.Yani atoe mziki wako aweke kwake ama alimaanisha nini huyo bwana lofa
Af ukute kaweka speaker ya dumu!ndio, atoe wangu aweke kwake alafu wake aweke kwangu.
kuna watu wana matusi aisee
hahaha...Af ukute kaweka speaker ya dumu!
Tena mziki haswaa, Sony Xplod ama JBL Subwooferhahaha...
Asikuambie mtu raha ya usafiri ni uziki