Kwa wale wanaopenda muziki kwenye gari, tukutane hapa


kuna mdau pia hapo juu alishauri kama unavyoshauri wewe, kwamba ili kupata mziki mzito wenye kishindo heavy inanibidi kuweka AMP yenye power kubwa kuzidi speaker, na niweke EQUALIZER. Kuhusu EQ akapendekeza brand ya BOSCHMAN.

So kuhusu AMP, unashauri niweke ya Watts ngapi? na brand gani ni the best? EQ nitaweka ya Boschman, na speaker nitaendelea nayo hii hii iliyopo Pioneer watts 350.
 
Ww mtu mbadi sanaa hii list ni balaa
 
Mwanangu umetisha, nakugundika manyota kibao ya kiprofeshino na heshima. Unajua kuzipatia. Ila miaka ya tisini maproducer na wasanii walikuwa serious sana. Katika nyimbo 100 zinazotoka basi 99 ni hit songs. Aisee
 
sasa hvi kuna pioneer 3020pro kinu kinafua 1800wrms hii mahususi kuchu na vinu kma deAf bonce machete na apocalypse
 
Mkuu nimesahau jina la ule wimbo mkali sana wameimba collection kina buster rymes na wenzake "Im ma party" X2 hii ni chouros, Nisaidie Jina la Wimbo nautafuta sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…