Mbolabilika
JF-Expert Member
- Jul 30, 2019
- 2,128
- 2,867
Mpo ovyoo sana hamuwekezi kwenye michezo, yaani hata tukio kama hili hamkunasa kwa video, mnaishia picha moja tu na video ya simu ya jamaa akieleza atakavyorudi Tanzania. Na nyingine ya jamaa kitaani akifanya mazoezi kwa kupiga ngumi magurudumu.
Utakuta akirudi nyumbani hakuna wa kumpokea uwanja wa ndege, kimya kimya kwa umaskini tu.
Nakumbuka kuna kipindi fulani bondia wenu hakua na mshikaji au mpambe pembeni, ilikua inabidi asaidiwe na Wakenya.
Mjifunze mengi kutoka Kenya, wana michezo wetu huwa wanajihisi fahari ya kuwa Wakenya na wazalendo, tunawapa mbwembwe na kuwapokea kwa raha, wimbo wa taifa na bendera zinapepea, nchi inachangamka.
Mngekuwa mnawekeza mungefuzu michuano ya CHAN au mngebeba Afcon kabisa,
Alafu eti umesema hatuwafanyii mapokezi wanamichezo wetu wakishinda, angali hizi video za Mwakinyo.
Siku nyingine kabla ya kubonga ukumbafu mob embu enda katafute vida kwanza.
We jamaa mi sikupendi kabisa, ila umeongea jambo la msingi michezo tz si kipaumbele chetuMpo ovyoo sana hamuwekezi kwenye michezo, yaani hata tukio kama hili hamkunasa kwa video, mnaishia picha moja tu na video ya simu ya jamaa akieleza atakavyorudi Tanzania. Na nyingine ya jamaa kitaani akifanya mazoezi kwa kupiga ngumi magurudumu.
Utakuta akirudi nyumbani hakuna wa kumpokea uwanja wa ndege, kimya kimya kwa umaskini tu.
Nakumbuka kuna kipindi fulani bondia wenu hakua na mshikaji au mpambe pembeni, ilikua inabidi asaidiwe na Wakenya.
Mjifunze mengi kutoka Kenya, wana michezo wetu huwa wanajihisi fahari ya kuwa Wakenya na wazalendo, tunawapa mbwembwe na kuwapokea kwa raha, wimbo wa taifa na bendera zinapepea, nchi inachangamka.
Nyie kwenye mechi ya kufuzu CHAN si tuliwatoa au mnataka nini na tumewatoa mara mbili mfulilizo kwenye kufuzu mashindano ya CHANMpo ovyoo sana hamuwekezi kwenye michezo, yaani hata tukio kama hili hamkunasa kwa video, mnaishia picha moja tu na video ya simu ya jamaa akieleza atakavyorudi Tanzania. Na nyingine ya jamaa kitaani akifanya mazoezi kwa kupiga ngumi magurudumu.
Utakuta akirudi nyumbani hakuna wa kumpokea uwanja wa ndege, kimya kimya kwa umaskini tu.
Nakumbuka kuna kipindi fulani bondia wenu hakua na mshikaji au mpambe pembeni, ilikua inabidi asaidiwe na Wakenya.
Mjifunze mengi kutoka Kenya, wana michezo wetu huwa wanajihisi fahari ya kuwa Wakenya na wazalendo, tunawapa mbwembwe na kuwapokea kwa raha, wimbo wa taifa na bendera zinapepea, nchi inachangamka.
Wanahabari wenu pia ni ovyo kupindukia. Eti Eliud Kepchoge aweka rekodi Berlin. Hata kwenye jina tu la mwanariadha wanachemsha. Alafu hii ndio Azam ambayo huwa mnaisifia. Quality ya picha ni kama ya kamera ya simu ya Tecno. Mapokezi nayo hamna hata rangi za bendera ya Tz. Jamaa wa boda boda wanabeba mitungi ya molasses kwenye shughuli ya mapokezi. [emoji38]Mngekuwa mnawekeza mungefuzu michuano ya CHAN au mngebeba Afcon kabisa,
Alafu eti umesema hatuwafanyii mapokezi wanamichezo wetu wakishinda, angali hizi video za Mwakinyo.
Siku nyingine kabla ya kubonga ukumbafu mob embu enda katafute vida kwanza.
Mapokezi ni mapokezi hata ukipokelewa porini.Huko ni Tanga, mapokezi ya kijijini shwari ila huwa safi sana kumpokea bingwa kwa mbwembwe kwenye uwanja wa kimataifa, hebu check hizi video kuanzia uwanja wa ndege JKIA
Wanahabari wenu pia ni ovyo kupindukia. Eti Eliud Kepchoge aweka rekodi Berlin. Hata kwenye jina tu la mwanariadha wanachemsha. Alafu hii ndio Azam ambayo huwa mnaisifia. Quality ya picha ni kama ya kamera ya simu ya Tecno. Mapokezi nayo hamna hata rangi za bendera ya Tz. Jamaa wa boda boda wanabeba mitungi ya molasses kwenye shughuli ya mapokezi. [emoji38]
Mapokezi ni mapokezi hata ukipokelewa porini.
Kutamka na kuandika ni vitu viwili tofauti. Wanahabari ambao wanajielewa huwa wanafanya kazi yao kwa ueledi wa hali ya juu kabisa. Kila mara nikitizama hizo stesheni zenu za Tv huwa nawashangaa sana. Utadhani wanaofanya kazi humo ni vichaa flani. Igeni mfano wa wenzenu, hamna faida ya kung'ang'ania upuuzi kisa kiburi, mwisho wa siku aibu ni kwenu.Kukosea kutamka jina la mtu ni kitu cha kawaida sana,
Namna Mfaransa anavyotamka jina la kifaransa ni tofauti na wewe utakavyotamka,
Katafute kisimbusi cha Azam.
Ndio maana mabondia wenu hupokea kichapo kutoka kwa Wakenya
Kwa Picha :Tazama mabondia wa Tanzania walivyorambishwa sakafu na Wakenya
- 8 Februari 2017
Mashindano ya ndondi katika madaraja tofauti kanda ya Afrika chini ya chama cha ndondi cha Africa Boxing.
- Sambaza habari hii Facebook
- Sambaza habari hii Messenger
- Sambaza habari hii Twitter
- Sambaza habari hii Email
- Mshirikishe mwenzako
BBC
Ignas hakuweza kuendelea na pigana na alisalimu amri raundi ya tanoBBC
Bondia kutoka nchini Tanzania Salehe Mkalekwa (Welterweight), akiwa anashangaa ni nini kilichotendeka baada ya kulambishwa sakafu na Mkenya Rayton Okwiri .BBC
Mkenya Rayton Okwiri alinyakuwa ukanda wa Africa kitengo cha Welterweight alipomwangusha Mtazania Salehe Mkalekwa katika raundi ya tatu .BBC
Salehe Mkalekwa akiwa amelala chini baada ya ngumi nzito kutoka kwa Okwiri.BBC
Mkalekwa akisaidiwa na refa kuamka.BBC
Mkenya Nick ‘Kanyankole” Otieno akimenyana na Mtazania Haji Juma katika shindano la Super Flyweight, Nick aliibuka mshindi na kunyakuwa ukanda uliokuwa wazi.BBC
Mtanzania Haji Juma , akiwashukuru mashabiki waliojazana ukumbi wa Glown Plaza.BBC
Nick ‘Kanyankole” Otieno akiwa na ukanda aliyoshinda .BBC
Mkenya Gabriel Otieno(Kulia) na Mtazania Fadhili Majiha wakipewa mawaidha kabla ya pigano lao la ukanda wa Africa kitengo cha Bantamweight.BBC
Gabriel Otieno hakuwa na lake mbele ya Fadhili Majiha aliye mponda kisawasawa na kushinda.BBC
Fadhili alionyesha mchezo wa hali ya juu na kufungua jeraha katika paja la uso la Otieno aliyevuja damu kwa wingi.BBC
Gabriel Otieno akiwaza ni mbinu gani atatumia dhidi ya Fadhili.BBC
Ingawa Otieno alijitahidi, Fadhili alikuwa mwepesi kwa kila njia.BBC
Fadhili Majima akimtandika Gabriel Otieni makonde mazitoBBC
Fadhili Majiha ni bondia aliye na uzoefu kwenye ulingo wa ndondi, akiwa ameshiriki kwenye mechi kadha za kulipwa ikiwemo nchini UfilipinoBBC
Fadhili Majiha akiwa na ukanda aliyoshinda .BBC
Mkenya Dennis ‘Bilabong’ Okoth akimenyana na Mtazania Shadrack Ignas kitengo cha super lightweight.BBC
Shadrack Ignas akilalama kwa refa Mohammed Abdalla Kent kuhusu jeraha kichwani mwa Okoth
Mshirikishe mwenzako Unavyoweza kumshirikisha mwenzako
Kwa Picha :Tazama mabondia wa Tanzania walivyorambishwa sakafu na Wakenya - BBC News Swahili
Mashindano ya ndondi katika madaraja tofauti kanda ya Afrika chini ya chama cha ndondi cha Africa Boxing.www.bbc.com
Kutamka na kuandika ni vitu viwili tofauti. Wanahabari ambao wanajielewa huwa wanafanya kazi yao kwa ueledi wa hali ya juu kabisa. Kila mara nikitizama hizo stesheni zenu za Tv huwa nawashangaa sana. Utadhani wanaofanya kazi humo ni vichaa flani. Igeni mfano wa wenzenu, hamna faida ya kung'ang'ania upuuzi kisa kiburi, mwisho wa siku aibu ni kwenu.
Tunakitu gani cha kujifunza kwenu zaidi ya kukimbia na mnapeleka viongozi wengi kuliko wanariadhaMpo ovyoo sana hamuwekezi kwenye michezo, yaani hata tukio kama hili hamkunasa kwa video, mnaishia picha moja tu na video ya simu ya jamaa akieleza atakavyorudi Tanzania. Na nyingine ya jamaa kitaani akifanya mazoezi kwa kupiga ngumi magurudumu.
Utakuta akirudi nyumbani hakuna wa kumpokea uwanja wa ndege, kimya kimya kwa umaskini tu.
Nakumbuka kuna kipindi fulani bondia wenu hakua na mshikaji au mpambe pembeni, ilikua inabidi asaidiwe na Wakenya.
Mjifunze mengi kutoka Kenya, wana michezo wetu huwa wanajihisi fahari ya kuwa Wakenya na wazalendo, tunawapa mbwembwe na kuwapokea kwa raha, wimbo wa taifa na bendera zinapepea, nchi inachangamka.
Hebu dadavua zaidi ukitumia mifano. Maanake ninavojua mimi ni kwamba nyinyi watz ndio huwa mnamuita rais wenu 'Magufuri'.Hata waandishi wenu wa habari huwa wanakosea kuandika na kutamka jina la Magufuli kwa kujifanya ati ni black wazungu.
Kwenye Africa Games 2019, ambazo zinaisha wiki hii kule Morocco. Kenya waliwakilishwa na wanamichezo 290, viongozi 17. Tz wanamichezo 6, viongozi 21. [emoji1]Tunakitu gani cha kujifunza kwenu zaidi ya kukimbia na mnapeleka viongozi wengi kuliko wanariadha
Hebu dadavua zaidi ukitumia mifano. Maanake ninavojua mimi ni kwamba nyinyi watz ndio huwa mnamuita rais wenu 'Magufuri'.