KWA WALE WANAOSEMA TANZANIA WAMELEGEA KILA MASHINDANO WANASHINDA KENYA

Thats like a needle in a haystack, compared to Kenya, all the more congratulations for a job well done
 
Mpo ovyoo sana hamuwekezi kwenye michezo, yaani hata tukio kama hili hamkunasa kwa video, mnaishia picha moja tu na video ya simu ya jamaa akieleza atakavyorudi Tanzania. Na nyingine ya jamaa kitaani akifanya mazoezi kwa kupiga ngumi magurudumu.
Utakuta akirudi nyumbani hakuna wa kumpokea uwanja wa ndege, kimya kimya kwa umaskini tu.
Nakumbuka kuna kipindi fulani bondia wenu hakua na mshikaji au mpambe pembeni, ilikua inabidi asaidiwe na Wakenya.

Mjifunze mengi kutoka Kenya, wana michezo wetu huwa wanajihisi fahari ya kuwa Wakenya na wazalendo, tunawapa mbwembwe na kuwapokea kwa raha, wimbo wa taifa na bendera zinapepea, nchi inachangamka.
 
Mngekuwa mnawekeza mungefuzu michuano ya CHAN au mngebeba Afcon kabisa,
Alafu eti umesema hatuwafanyii mapokezi wanamichezo wetu wakishinda, angali hizi video za Mwakinyo.
Siku nyingine kabla ya kubonga ukumbafu mob embu enda katafute vida kwanza.

Huko ni Tanga, mapokezi ya kijijini shwari ila huwa safi sana kumpokea bingwa kwa mbwembwe kwenye uwanja wa kimataifa, hebu check hizi video kuanzia uwanja wa ndege JKIA

We jamaa mi sikupendi kabisa, ila umeongea jambo la msingi michezo tz si kipaumbele chetu
 
Mpo ovyoo sana hamuwekezi kwenye michezo, yaani hata tukio kama hili hamkunasa kwa video, mnaishia picha moja tu na video ya simu ya jamaa akieleza atakavyorudi Tanzania. Na nyingine ya jamaa kitaani akifanya mazoezi kwa kupiga ngumi magurudumu.
Utakuta akirudi nyumbani hakuna wa kumpokea uwanja wa ndege, kimya kimya kwa umaskini tu.
Nakumbuka kuna kipindi fulani bondia wenu hakua na mshikaji au mpambe pembeni, ilikua inabidi asaidiwe na Wakenya.

Mjifunze mengi kutoka Kenya, wana michezo wetu huwa wanajihisi fahari ya kuwa Wakenya na wazalendo, tunawapa mbwembwe na kuwapokea kwa raha, wimbo wa taifa na bendera zinapepea, nchi inachangamka.
Nyie kwenye mechi ya kufuzu CHAN si tuliwatoa au mnataka nini na tumewatoa mara mbili mfulilizo kwenye kufuzu mashindano ya CHAN
 
Mngekuwa mnawekeza mungefuzu michuano ya CHAN au mngebeba Afcon kabisa,
Alafu eti umesema hatuwafanyii mapokezi wanamichezo wetu wakishinda, angali hizi video za Mwakinyo.
Siku nyingine kabla ya kubonga ukumbafu mob embu enda katafute vida kwanza.

Wanahabari wenu pia ni ovyo kupindukia. Eti Eliud Kepchoge aweka rekodi Berlin. Hata kwenye jina tu la mwanariadha wanachemsha. Alafu hii ndio Azam ambayo huwa mnaisifia. Quality ya picha ni kama ya kamera ya simu ya Tecno. Mapokezi nayo hamna hata rangi za bendera ya Tz. Jamaa wa boda boda wanabeba mitungi ya molasses kwenye shughuli ya mapokezi. [emoji38]
 
Huko ni Tanga, mapokezi ya kijijini shwari ila huwa safi sana kumpokea bingwa kwa mbwembwe kwenye uwanja wa kimataifa, hebu check hizi video kuanzia uwanja wa ndege JKIA

Mapokezi ni mapokezi hata ukipokelewa porini.
 
Kukosea kutamka jina la mtu ni kitu cha kawaida sana,
Namna Mfaransa anavyotamka jina la kifaransa ni tofauti na wewe utakavyotamka,
Katafute kisimbusi cha Azam.
Wanahabari wenu pia ni ovyo kupindukia. Eti Eliud Kepchoge aweka rekodi Berlin. Hata kwenye jina tu la mwanariadha wanachemsha. Alafu hii ndio Azam ambayo huwa mnaisifia. Quality ya picha ni kama ya kamera ya simu ya Tecno. Mapokezi nayo hamna hata rangi za bendera ya Tz. Jamaa wa boda boda wanabeba mitungi ya molasses kwenye shughuli ya mapokezi. [emoji38]
 
Mapokezi ni mapokezi hata ukipokelewa porini.

Ndio maana mabondia wenu hupokea kichapo kutoka kwa Wakenya

Kwa Picha :Tazama mabondia wa Tanzania walivyorambishwa sakafu na Wakenya
  • 8 Februari 2017
Mashindano ya ndondi katika madaraja tofauti kanda ya Afrika chini ya chama cha ndondi cha Africa Boxing.
  • Ignas hakuweza kuendelea na pigana na alisalimu amri raundi ya tano
    BBC
    Ignas hakuweza kuendelea na pigana na alisalimu amri raundi ya tano
  • Bondia kutoka nchini Tanzania Salehe Mkalekwa (Welterweight), akiwa anashangaa ni nini kilichotendeka baada ya kulambishwa sakafu na Mkenya Rayton Okwiri .
    BBC
    Bondia kutoka nchini Tanzania Salehe Mkalekwa (Welterweight), akiwa anashangaa ni nini kilichotendeka baada ya kulambishwa sakafu na Mkenya Rayton Okwiri .
  • Mkenya Rayton Okwiri alinyakuwa ukanda wa Africa kitengo cha Welterweight alipomwangusha Mtazania Salehe Mkalekwa katika raundi ya tatu .
    BBC
    Mkenya Rayton Okwiri alinyakuwa ukanda wa Africa kitengo cha Welterweight alipomwangusha Mtazania Salehe Mkalekwa katika raundi ya tatu .
  • Salehe Mkalekwa akiwa amelala chini baada ya ngumi nzito kutoka kwa Okwiri.
    BBC
    Salehe Mkalekwa akiwa amelala chini baada ya ngumi nzito kutoka kwa Okwiri.
  • Mkalekwa akisaidiwa na refa kuamka.
    BBC
    Mkalekwa akisaidiwa na refa kuamka.
  • Mkenya Nick ‘Kanyankole” Otieno akimenyana na Mtazania Haji Juma katika shindano la Super Flyweight, Nick aliibuka mshindi na kunyakuwa ukanda uliokuwa wazi.
    BBC
    Mkenya Nick ‘Kanyankole” Otieno akimenyana na Mtazania Haji Juma katika shindano la Super Flyweight, Nick aliibuka mshindi na kunyakuwa ukanda uliokuwa wazi.
  • Mtanzania Haji Juma , akiwashikuru mashabiki waliojazana ukumbi wa Glown Plaza.
    BBC
    Mtanzania Haji Juma , akiwashukuru mashabiki waliojazana ukumbi wa Glown Plaza.
  • Nick ‘Kanyankole” Otieno akiwa na ukanda aliyoshinda .
    BBC
    Nick ‘Kanyankole” Otieno akiwa na ukanda aliyoshinda .
  • Mkenya Gabriel Otieno(Kulia) na Mtazania Fadhili Majiha wakipewa mawaidha kabla ya pigano lao la ukanda wa Africa kitengo cha Bantamweight.
    BBC
    Mkenya Gabriel Otieno(Kulia) na Mtazania Fadhili Majiha wakipewa mawaidha kabla ya pigano lao la ukanda wa Africa kitengo cha Bantamweight.
  • Gabriel Otieno hakuwa na lake mbele ya Fadhili Majiha aliye mponda kisawasawa na kushinda.
    BBC
    Gabriel Otieno hakuwa na lake mbele ya Fadhili Majiha aliye mponda kisawasawa na kushinda.
  • Fadhili alionyesha mchezo wa hali ya juu na kufungua jeraha katika paja la uso la Otieno aliyevuja damu kwa wingi.
    BBC
    Fadhili alionyesha mchezo wa hali ya juu na kufungua jeraha katika paja la uso la Otieno aliyevuja damu kwa wingi.
  • Gabriel Otieno akiwaza ni mbinu gani atatumia dhidi ya Fadhili.
    BBC
    Gabriel Otieno akiwaza ni mbinu gani atatumia dhidi ya Fadhili.
  • Ingawa Otieno alijitahidi, Fadhili alikuwa mwepesi kwa kila njia.
    BBC
    Ingawa Otieno alijitahidi, Fadhili alikuwa mwepesi kwa kila njia.
  • Fadhili Majima akimtandika Gabriel Otieni makonde mazito
    BBC
    Fadhili Majima akimtandika Gabriel Otieni makonde mazito
  • Fadhili Majiha ni bondia aliye na uzoefu kwenye ulingo wa ndondi, akiwa ameshiriki kwenye mechi kadha za kulipwa ikiwemo nchini Ufilipino
    BBC
    Fadhili Majiha ni bondia aliye na uzoefu kwenye ulingo wa ndondi, akiwa ameshiriki kwenye mechi kadha za kulipwa ikiwemo nchini Ufilipino
  • Fadhili Majiha akiwa na ukanda aliyoshinda .
    BBC
    Fadhili Majiha akiwa na ukanda aliyoshinda .
  • Mkenya Dennis ‘Bilabong’ Okoth akimenyana na Mtazania Shadrack Ignas kitengo cha super lightweight.
    BBC
    Mkenya Dennis ‘Bilabong’ Okoth akimenyana na Mtazania Shadrack Ignas kitengo cha super lightweight.
  • Shadrack Ignas akilalama kwa refa Mohammed Abdalla Kent kuhusu jeraha kichwani mwa Okoth
    BBC
    Shadrack Ignas akilalama kwa refa Mohammed Abdalla Kent kuhusu jeraha kichwani mwa Okoth

Mshirikishe mwenzako Unavyoweza kumshirikisha mwenzako
 
Kukosea kutamka jina la mtu ni kitu cha kawaida sana,
Namna Mfaransa anavyotamka jina la kifaransa ni tofauti na wewe utakavyotamka,
Katafute kisimbusi cha Azam.
Kutamka na kuandika ni vitu viwili tofauti. Wanahabari ambao wanajielewa huwa wanafanya kazi yao kwa ueledi wa hali ya juu kabisa. Kila mara nikitizama hizo stesheni zenu za Tv huwa nawashangaa sana. Utadhani wanaofanya kazi humo ni vichaa flani. Igeni mfano wa wenzenu, hamna faida ya kung'ang'ania upuuzi kisa kiburi, mwisho wa siku aibu ni kwenu.
 
2017 mbali hivo [emoji23][emoji23][emoji23]
Bondia wetu alimpa kichapo mkenya juzi juzi tena kwenu Kabisa
Jionee hapa "Bondia Mtanzania aliyemchapa Mkenya kwa KO awa gumzo https://www.mwananchi.co.tz/Michezo...O-awa-gumzo/1597534-5152918-5nmws6/index.html

Alafu sisi tunawapa kichapo hadi mabwana zenu http://news.azamtv.com/sw/news/bondia-mtanzania-afanya-maajabu-ulaya-ampiga-mzungu-kwa-ko-26315
Ndio maana mabondia wenu hupokea kichapo kutoka kwa Wakenya

Kwa Picha :Tazama mabondia wa Tanzania walivyorambishwa sakafu na Wakenya
  • 8 Februari 2017
Mashindano ya ndondi katika madaraja tofauti kanda ya Afrika chini ya chama cha ndondi cha Africa Boxing.
  • Ignas hakuweza kuendelea na pigana na alisalimu amri raundi ya tano
    BBC
    Ignas hakuweza kuendelea na pigana na alisalimu amri raundi ya tano
  • Bondia kutoka nchini Tanzania Salehe Mkalekwa (Welterweight), akiwa anashangaa ni nini kilichotendeka baada ya kulambishwa sakafu na Mkenya Rayton Okwiri .
    BBC
    Bondia kutoka nchini Tanzania Salehe Mkalekwa (Welterweight), akiwa anashangaa ni nini kilichotendeka baada ya kulambishwa sakafu na Mkenya Rayton Okwiri .
  • Mkenya Rayton Okwiri alinyakuwa ukanda wa Africa kitengo cha Welterweight alipomwangusha Mtazania Salehe Mkalekwa katika raundi ya tatu .
    BBC
    Mkenya Rayton Okwiri alinyakuwa ukanda wa Africa kitengo cha Welterweight alipomwangusha Mtazania Salehe Mkalekwa katika raundi ya tatu .
  • Salehe Mkalekwa akiwa amelala chini baada ya ngumi nzito kutoka kwa Okwiri.
    BBC
    Salehe Mkalekwa akiwa amelala chini baada ya ngumi nzito kutoka kwa Okwiri.
  • Mkalekwa akisaidiwa na refa kuamka.
    BBC
    Mkalekwa akisaidiwa na refa kuamka.
  • Mkenya Nick ‘Kanyankole” Otieno akimenyana na Mtazania Haji Juma katika shindano la Super Flyweight, Nick aliibuka mshindi na kunyakuwa ukanda uliokuwa wazi.
    BBC
    Mkenya Nick ‘Kanyankole” Otieno akimenyana na Mtazania Haji Juma katika shindano la Super Flyweight, Nick aliibuka mshindi na kunyakuwa ukanda uliokuwa wazi.
  • Mtanzania Haji Juma , akiwashikuru mashabiki waliojazana ukumbi wa Glown Plaza.
    BBC
    Mtanzania Haji Juma , akiwashukuru mashabiki waliojazana ukumbi wa Glown Plaza.
  • Nick ‘Kanyankole” Otieno akiwa na ukanda aliyoshinda .
    BBC
    Nick ‘Kanyankole” Otieno akiwa na ukanda aliyoshinda .
  • Mkenya Gabriel Otieno(Kulia) na Mtazania Fadhili Majiha wakipewa mawaidha kabla ya pigano lao la ukanda wa Africa kitengo cha Bantamweight.
    BBC
    Mkenya Gabriel Otieno(Kulia) na Mtazania Fadhili Majiha wakipewa mawaidha kabla ya pigano lao la ukanda wa Africa kitengo cha Bantamweight.
  • Gabriel Otieno hakuwa na lake mbele ya Fadhili Majiha aliye mponda kisawasawa na kushinda.
    BBC
    Gabriel Otieno hakuwa na lake mbele ya Fadhili Majiha aliye mponda kisawasawa na kushinda.
  • Fadhili alionyesha mchezo wa hali ya juu na kufungua jeraha katika paja la uso la Otieno aliyevuja damu kwa wingi.
    BBC
    Fadhili alionyesha mchezo wa hali ya juu na kufungua jeraha katika paja la uso la Otieno aliyevuja damu kwa wingi.
  • Gabriel Otieno akiwaza ni mbinu gani atatumia dhidi ya Fadhili.
    BBC
    Gabriel Otieno akiwaza ni mbinu gani atatumia dhidi ya Fadhili.
  • Ingawa Otieno alijitahidi, Fadhili alikuwa mwepesi kwa kila njia.
    BBC
    Ingawa Otieno alijitahidi, Fadhili alikuwa mwepesi kwa kila njia.
  • Fadhili Majima akimtandika Gabriel Otieni makonde mazito
    BBC
    Fadhili Majima akimtandika Gabriel Otieni makonde mazito
  • Fadhili Majiha ni bondia aliye na uzoefu kwenye ulingo wa ndondi, akiwa ameshiriki kwenye mechi kadha za kulipwa ikiwemo nchini Ufilipino
    BBC
    Fadhili Majiha ni bondia aliye na uzoefu kwenye ulingo wa ndondi, akiwa ameshiriki kwenye mechi kadha za kulipwa ikiwemo nchini Ufilipino
  • Fadhili Majiha akiwa na ukanda aliyoshinda .
    BBC
    Fadhili Majiha akiwa na ukanda aliyoshinda .
  • Mkenya Dennis ‘Bilabong’ Okoth akimenyana na Mtazania Shadrack Ignas kitengo cha super lightweight.
    BBC
    Mkenya Dennis ‘Bilabong’ Okoth akimenyana na Mtazania Shadrack Ignas kitengo cha super lightweight.
  • Shadrack Ignas akilalama kwa refa Mohammed Abdalla Kent kuhusu jeraha kichwani mwa Okoth
    BBC
    Shadrack Ignas akilalama kwa refa Mohammed Abdalla Kent kuhusu jeraha kichwani mwa Okoth

Mshirikishe mwenzako Unavyoweza kumshirikisha mwenzako
 
Hata waandishi wenu wa habari huwa wanakosea kuandika na kutamka jina la Magufuli kwa kujifanya ati ni black wazungu.
Kutamka na kuandika ni vitu viwili tofauti. Wanahabari ambao wanajielewa huwa wanafanya kazi yao kwa ueledi wa hali ya juu kabisa. Kila mara nikitizama hizo stesheni zenu za Tv huwa nawashangaa sana. Utadhani wanaofanya kazi humo ni vichaa flani. Igeni mfano wa wenzenu, hamna faida ya kung'ang'ania upuuzi kisa kiburi, mwisho wa siku aibu ni kwenu.
 
Mpo ovyoo sana hamuwekezi kwenye michezo, yaani hata tukio kama hili hamkunasa kwa video, mnaishia picha moja tu na video ya simu ya jamaa akieleza atakavyorudi Tanzania. Na nyingine ya jamaa kitaani akifanya mazoezi kwa kupiga ngumi magurudumu.
Utakuta akirudi nyumbani hakuna wa kumpokea uwanja wa ndege, kimya kimya kwa umaskini tu.
Nakumbuka kuna kipindi fulani bondia wenu hakua na mshikaji au mpambe pembeni, ilikua inabidi asaidiwe na Wakenya.

Mjifunze mengi kutoka Kenya, wana michezo wetu huwa wanajihisi fahari ya kuwa Wakenya na wazalendo, tunawapa mbwembwe na kuwapokea kwa raha, wimbo wa taifa na bendera zinapepea, nchi inachangamka.
Tunakitu gani cha kujifunza kwenu zaidi ya kukimbia na mnapeleka viongozi wengi kuliko wanariadha
 
KDF’s Ulinzi Stars dimmed by Tanzania’s Jeshi Stars
 
Hata waandishi wenu wa habari huwa wanakosea kuandika na kutamka jina la Magufuli kwa kujifanya ati ni black wazungu.
Hebu dadavua zaidi ukitumia mifano. Maanake ninavojua mimi ni kwamba nyinyi watz ndio huwa mnamuita rais wenu 'Magufuri'.
 
Back
Top Bottom