Kwa wale wanaotaka kuikopesha serikali kwa hati fungani

Kwa wale wanaotaka kuikopesha serikali kwa hati fungani

Yep I understand that formality...ila
  • Check History of inflation within Tanzania imekaaje for the last 10 to 15 years...haijawahi vuka 7%
  • And Tanzania ina Bond Yield kubwa tena mara 2nya inflation rate kuliko nchi za western au far east...
  • Kaangalie faida wanazo accumulate NMB ,CRDB na UTT kwa kuikopesha serikali...ni zaidi ya faida ya huduma zao za kuweka Amana za wateja...
  • Usi-stick na definition za Darasani,fanya analysis ya kwenye soko.
Kwamba inflation rate huwa inapimwaje mkuu. Naomba kueleweshwa hizo asilimia
 
Kwamba inflation rate huwa inapimwaje mkuu. Naomba kueleweshwa hizo asilimia
  • Serikali huchagua bidhaa kadhaa ambazo ni muhimu kwa maisha ya kawaida
  • Hupima kiwango cha upandaji wa bei kila mwezi
  • Ndiyo huitwa inflation rate
  • Sasa bidhaa zikipanda bei,basi hela yako (10,000) itaweza kununua bidhaa chache.
  • Kwahiyo inflation hushusha thamani ya fedha
  • Wakala wa Takwimu ndiyo huusika na kukotoa hilo
  • Nenda website ya NBS utakuta
  • Hopefully nimeeleweka.....
 
Kwamba inflation rate huwa inapimwaje mkuu. Naomba kueleweshwa hizo asilimia
  • Serikali huchagua bidhaa ambazo ni muhimu kwa maisha ya kila siku(Consumer price Index)
  • Huangalia upandaji wake bei wa kila wiki na mwezi
  • Bidhaa ya tsh 100,wiki ijayo ikawa 105,hapo Kasi ya kupanda bei ni 5%
  • Sasa kadri bei inavyopanda, ndipo alfu 10 yako inaponunua vitu vichache...
  • Sasa inflation ikiwa kubwa ndivyo hela yako hushuka thamani...
  • NBS ndiyo huusika na hili hapa Tanzania...
  • Ukienda kwenye website yao,utakuta kuna inflation rate ya sasa, ambayo ni.4.5%
 
Jombaa,,,
Kuna kuweka hela kwa ajili ya watoto miaka 10 baadaye....
Sasa hiyo haiwezi kuwa kwenye biashara,hatoikuta...
Wengi wanakuwa na wasiwasi kwa sababu fedha yao ni ya ngama. Hizi bond ukiwa na fedha nyingi ni nzuri sana na unaweza kuishi kama mfalme. Watu wanakuona mtaani tu na hawajui unafanya nini japo unaishi maisha mazuri. Hivi mgeni asiye mtanzania anaruhusiwa kununua bonds na hiyo bond iwe kama kigezo cha kupewa resident permit ya kuishi nchini?
 
Wengi wanakuwa na wasiwasi kwa sababu fedha yao ni ya ngama. Hizi bond ukiwa na fedha nyingi ni nzuri sana na unaweza kuishi kama mfalme. Watu wanakuona mtaani tu na hawajui unafanya nini japo unaishi maisha mazuri. Hivi mgeni asiye mtanzania anaruhusiwa kununua bonds na hiyo bond iwe kama kigezo cha kupewa resident permit ya kuishi nchini?
Inanunuliwa na yoyote yule....
Ila kwa asiye raia atatozwa kodi ya faida ambayo ni 10%...
 
Unajua unanijibu kiwepesi wepesi sana hata kama Nilizisoma zamani na hatufanyii kazi ila najua inflation inaleta moto 🤣🤣 kwasababu Inflation causes interest rates to rise,
na automatic ita decrease the value of existing bonds. Kwahiyo kwenye high inflation, bonds yielding fixed interest rates lazima ishuke na be tend to be less attractive. Au Mimi Naelewaje. Nipo tayari kukaa darasani
Wakati wengi mnazungumzia inflation rate,,,,(kidarasani zaidi) mkija kiuharisia
  • Tanzania tumekuwa na modest inflation rate for over 10 years now,,,for now ipo at 4.5 na haijawahi vuka 6 even at the worst moment kama za covid.
  • Inflation/deflation ita affect new issued bonds,siyo ambazo zilishanunuliwa
  • pia hu-affect bonds on secondary market
  • Most of sub-saharan countries zina bond yield kubwa mara 3 ya inflation rate,,,Bonds za Sub-saharan countries zinalipa vizuri kuliko za western and far east asia.
  • Factor ya sisi kuwa na Bond yield kubwa ni due to lower credit ratings,,,
  • Tuna lower credit ratings coz ukanda wetu ndiyo waongoza kwa kuvurugika kwa amani ya nchi,,,either vita or mapinduzi,,,Hii huondoa investors confidence.
 
Elimu ya pesa ilipaswa kutolewa kuanzia ngazi ya primary school.
 
Back
Top Bottom