greater than
JF-Expert Member
- Sep 22, 2018
- 1,653
- 3,060
- Thread starter
-
- #41
Kadri mpunga unavyoongezeka,,,,ndivyo mambo yanakuwa byeeeee....Ukiwa na mpunga mrefu ndio tamu zaidi
Kwamba inflation rate huwa inapimwaje mkuu. Naomba kueleweshwa hizo asilimiaYep I understand that formality...ila
- Check History of inflation within Tanzania imekaaje for the last 10 to 15 years...haijawahi vuka 7%
- And Tanzania ina Bond Yield kubwa tena mara 2nya inflation rate kuliko nchi za western au far east...
- Kaangalie faida wanazo accumulate NMB ,CRDB na UTT kwa kuikopesha serikali...ni zaidi ya faida ya huduma zao za kuweka Amana za wateja...
- Usi-stick na definition za Darasani,fanya analysis ya kwenye soko.
Kwamba inflation rate huwa inapimwaje mkuu. Naomba kueleweshwa hizo asilimia
Kwamba inflation rate huwa inapimwaje mkuu. Naomba kueleweshwa hizo asilimia
Jombaa,,,Kwamba huna matumizi nayo??
#YNWA
#YANGA_BINGWA
Wengi wanakuwa na wasiwasi kwa sababu fedha yao ni ya ngama. Hizi bond ukiwa na fedha nyingi ni nzuri sana na unaweza kuishi kama mfalme. Watu wanakuona mtaani tu na hawajui unafanya nini japo unaishi maisha mazuri. Hivi mgeni asiye mtanzania anaruhusiwa kununua bonds na hiyo bond iwe kama kigezo cha kupewa resident permit ya kuishi nchini?Jombaa,,,
Kuna kuweka hela kwa ajili ya watoto miaka 10 baadaye....
Sasa hiyo haiwezi kuwa kwenye biashara,hatoikuta...
Inanunuliwa na yoyote yule....Wengi wanakuwa na wasiwasi kwa sababu fedha yao ni ya ngama. Hizi bond ukiwa na fedha nyingi ni nzuri sana na unaweza kuishi kama mfalme. Watu wanakuona mtaani tu na hawajui unafanya nini japo unaishi maisha mazuri. Hivi mgeni asiye mtanzania anaruhusiwa kununua bonds na hiyo bond iwe kama kigezo cha kupewa resident permit ya kuishi nchini?
Wakati wengi mnazungumzia inflation rate,,,,(kidarasani zaidi) mkija kiuharisiaUnajua unanijibu kiwepesi wepesi sana hata kama Nilizisoma zamani na hatufanyii kazi ila najua inflation inaleta moto 🤣🤣 kwasababu Inflation causes interest rates to rise,
na automatic ita decrease the value of existing bonds. Kwahiyo kwenye high inflation, bonds yielding fixed interest rates lazima ishuke na be tend to be less attractive. Au Mimi Naelewaje. Nipo tayari kukaa darasani
Kuna website ya BoT,,,wameweka kikokotoo cha Bonds and BillsNikiwekeza milioni kwa mwezi nakunja kiasi gani kwa bond ya let say miaka 15?
Yaah angalau mil 50 - 100+Ukiwa na mpunga mrefu ndio tamu zaidi